Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

tusingemlaumu zolan maki kama sabu ingetupa matokeo tuliyoenda nayo, tukumbuke kuwa hayo ndo matokeo ya dakika90 na ilikuwa razima mmoja acheke na mwingine alie. Zoran alikuwa sahihi kabisa...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Simba asiposajili DM na striker wa uhakika lawama zitaendelea. Kounate ni box to box midfielder, kucheza kama Defensive Midfielder ni kumforce sana. Pia kama ataendelea kucheza DM apunguze foul...
5 Reactions
8 Replies
926 Views
Kwa kilichotokea last season katika uzinduzi wa Jersy, Simba hawakutaka kirudie tena. Wakaamua kukaa na Mkinga maapema zaidi ili kujua muundo mpya wa msimu ujao utakuwaje. Mkinga akaona isiwe...
16 Reactions
68 Replies
8K Views
Maumivu ni makali sanaa Hakuna anaeweza kujificha kwa kusema ni kawaida ya mpira, mateso hayapaswi kuwa kawaida Ukweli ni kwamba tunapitia maumivu makali mnoo, kila mwana Simba leo anaugua...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Hii fedheha imezidi haiwezekani kila tukikutana na yanga sisi ni kufungwa au draw. Tunaenda uwanjani huku moyoni tuna wasiwasi mwingi Management wao wanaangalia biashara tu hawatujali sisi...
2 Reactions
7 Replies
527 Views
Nawasalimu kwa jina la jmt Moja kwa moja niende kwenye mada , yakiwa yamebaki masaa kadhaa ili mabingwa wa soka tanzania wekundu wa msimbazi waingie kwenye vita kali ya kusaka point 3 dhidi ya...
1 Reactions
32 Replies
2K Views
Moja kwa moja nijikite kwenye mada, Hapo jana sikupenda kusema chochote kuhusu simba yangu maana ningeteremsha mitusi mizito kuanzia kwa kocha na mzungu wake ningeambulia ban ya maisha humu...
10 Reactions
68 Replies
5K Views
Klabu ya SIMBA ilianza kufanya Usajili wa Wachezaji wake kwa Msimu wa 2022/2023 mara tu baada ya kuachana na KOCHA wao.Wapenzi wa Soka tuliamini Mtu mwenye Upeo na Ujuzi wa kujua ni Wachezaji gani...
6 Reactions
18 Replies
992 Views
KOCHA wa Yanga, Nasreddine Nabi amechekelea aliposikia rasmi mshambuliaji wake Stephane Aziz KI, ameshatua nchini na kutambulishwa lakini akafichua na jeshi alilonalo kuna kazi nzito msimu ujao...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Kweli Mimi ni wa kulizwa kweli kisa ushabiki? Watoto wangu watanionaje huko mbeleni? Nimepigiwa simu kutoka pande za dunia wakinipa pole. Kwelii man utd na simba mmefikia huko? Kweli simba hile...
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Rais wa TFF kwenye mkutano wa ARUSHA ameviomba vilabu kupeana support vinapocheza mechi za kimataifa hata hivyo wakati wa tamasha la SIMBA Day Mwanamuziki TUNDAMAN aliingia na watu wake...
0 Reactions
6 Replies
718 Views
ZIKISALIA saa kadhaa tu kabla ya kushuka kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam kuikabili Simba katika mechi ya Ngao ya Jamii ya ufunguzi wa msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2022-2023...
5 Reactions
7 Replies
985 Views
Najua mnajua nini cha kufanya. Rekodi zetu ni bora sana dhidi ya TFF katika mechi takribani 6 zilizo pita. Natambua kuwa tangu atie mguu kwenye ardhi ya kibongo Prof NABI hajawahi kupoteza mchezo...
3 Reactions
8 Replies
550 Views
Kama kweli ya jana yamewauma anzieni kum probe henock inonga hata kama kufanya umafia kampuni za simu ku trace mawasiliano yake Kama wawa alivyochomesha jwaneng jana inonga kakunja pesa na mission...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Mbaya zaidi kipigo kinawafuata hapo Old Traford! MONDAY 22ND AUGUST Manchester United Vs Liverpool.
1 Reactions
8 Replies
670 Views
Simba solution ni simple tu chukueni pesa alizotoa Mo bilion 20 mnunue wachezaji wenye quality ya kupambana na Yanga. Acheni uswahili kuficha mambo wakati ubovu wenu tunauona. Kama Mo alitoa...
5 Reactions
14 Replies
899 Views
Hivi huyu mtu inakuwaje mpaka sasa hachezi ulaya wakati kuna viande kibao kule?
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Sisi tuliokuwa wapenzi wa Pan-Africanism ndio tuliokimbilia Yanga, baada ya timu yetu kuonyesha kutokuwa na future na mipango madhubuti ya kimichezo. Natamani timu hii ikiwa na pacha wake nyota...
0 Reactions
3 Replies
600 Views
Haina salamu! Moja kwa moja kwenye uzi Hivi benchi la ufundi la timu ya simba linaruhusu vipi hili duka la GSM kuendelea kuidakia timu yetu??!!! Hawa wachezaji tunaowasajili kutokea Yanga si wa...
4 Reactions
48 Replies
3K Views
Kocha Erik ten Hag ameamua kufuta mapumziko kwa wachezaji wake wa Manchester United mara baada ya timu hiyo kufungwa magoli 4-0 dhidi Brentford katika Premier League. Licha ya kuwa watakuwa na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…