Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Sitaongelea kuhusu kubebwa na kushinda kimipango, hilo lipo wazi kila mwenye utima analiona wazi 1. Simba inakuzwa tu, ila wachezaji ni averaged players. Yaani wana hadhi ya kucheza Pamba Jiji au...
1 Reactions
13 Replies
547 Views
Baada ya Yanga kuwasha moto sana Kwa vichapo vya 5G Kwa timu nyingi especially makolo, ....... kelele nyingi kutoka Kwa wadau wa soka kuhusu udhamini wa GSM Kwa timu nyingi zikaibuka ......mara...
9 Reactions
37 Replies
1K Views
Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu. Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa...
3 Reactions
14 Replies
390 Views
Si muda mrefu uliopita vilabu hivi vikubwa vilikuwa na uwezo wa kujaza uwanja wa Uhuru au Mkapa hata katika mechi ndogo tu za ligi achilia mbali zile za kimataifa. Zikaja story za ukarabati wa...
1 Reactions
14 Replies
769 Views
Wana utopolo sasa hvii wanaona gari lao limewaka hakuna malalamiko, oohh!! Kwanini Gamond kafukuzwa , ooh !! Mabeki hatuna. Malamiko yataanza baada ya Mc Algers kuwatungua 2 mtungi. Mnaokoteza...
11 Reactions
51 Replies
1K Views
1. Kama mnavyojua Wamanga hawana dogo, wameshaanza maandalizi kuomba ku-host 2036 Summer Olympics. Hapa kwetu Lisu anakashifu "Sponsors" wanaoweza kumnunulia gari ndani ta Sekunde. 2. Tujipange...
1 Reactions
2 Replies
253 Views
Rais wa klabu ya Raja Club Athletic amekutana mara mbili na kocha mwenye uzoefu wa Argentina, Miguel Ángel Gamondi, ambaye kwa sasa anaonekana kuwa chaguo bora zaidi kwa nafasi ya kocha mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Katika siku nyingine, siku ya Jumapili ya tarehe 22/12/2024 timu ya Young Africans almarufu wananchi watakuwa dimbani KMC complex kuzitafuta alama tatu dhidi ya Tanzania prisons almarufu kama...
3 Reactions
284 Replies
10K Views
Bondia Tyson Fury amesema anatakiwa kumpiga mpinzani wake, Oleksandr Usyk kwa K.O na sio kwa pointi kwa kuwa anaamini wakimaliza pambano na matokeo yakakiwa kuamuliwa kwa pointi basi itakuwa ngumu...
0 Reactions
9 Replies
538 Views
Yanga jioni ya leo anakwenda kuendeleza ushindi wa magoli ya mchongo kutoka kwa timu ya jeshi la magereza nyote mtakuja kunikumbuka jioni ya leo tutaona vituko vya mtu mmoja anaweza funga magoli...
3 Reactions
30 Replies
981 Views
Leo nimeshangaa hadi mechi inaendelea ya Yanga vs Prisons sioni uzi wake. Nikasema labda wamesusia litimu lao. Mara kuna mtu akaanzisha uzi unaohusiana na matokeo ya mechi, nilipoufungua, kumbe...
3 Reactions
22 Replies
778 Views
Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons. Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Niko Morogoro Nilichokiona Leo n BALAA tupu Polen sana mashabiki WA man u na Chelsea Kiujumla sisi Man City tumehuzunishwa sana na yanayoendelea ligi kuu ya EPL Nahisi tueleke kwenye maombii...
2 Reactions
11 Replies
550 Views
Sijui shida ni idadi chache ya camera ila kitu gani ambacho kinashindwa kufanya matukio yenye utata yawekwe wazi kupitia picha za marejeo. Hili watu wameliongelea tokea misimu ya nyuma...
0 Reactions
17 Replies
533 Views
Game imeshaisha. Ngoma ya watoto haikeshi. Kagera si mnyonge na hawezi anza leo kuwa mnyonge. Simba wakipata point moja washukuru sana. Wakachinje na ng'ombe. Kagera huwa kwao wanapocheza na...
5 Reactions
24 Replies
985 Views
Yanga na Simba zilianzishwa mwaka 1935 na 1936 baada ya kutokea mvurugano baina ya viongozi wa pande hizo mbili. Yanga ndio timu kongwe zaidi Tanzania ilianza 1935 wakati Simba ikitokea ubavuni...
4 Reactions
18 Replies
13K Views
TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans...
21 Reactions
295 Replies
12K Views
Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo...
6 Reactions
72 Replies
2K Views
Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakati fulani miaka kadhaa iliyopita, niliweka dau langu kubwa zaidi kwenye betting 1,000,000 TZS kwenye option ya draw kwenye mechi tatu tofauti. Nilijiamini sana kwamba hii ilikuwa tiketi yangu...
19 Reactions
90 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…