Ni ajabu sana timu zinazoongoza kuwa na mashabiki kila upande wa nchi..kukosa viwanja vyao...kila mechi Kwa mkapa..Kwenu hapo??..Jengeni viwanja vyenu bana..Azam wapo mbali sana nchi hii
Huyu jamaa nilijua kuna siku ataigharimu Simba na hilo limetokea leo, kuanzia mwanzo wa mechi niliona namna anavyojiona yeye ndo yeye na alikuwa anafanya makosa ya kiufundi mengi, nilitegemea...
RIPOTI kutoka Ubelgiji zinamhusisha mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania na nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta ‘Samagoal’ kutua Cardiff City ya Ligi Daraja la Kwanza England ‘Championship’...
Goli la dakika 90 mfungaji akiwa ni Harry Kane wa Tottenham limekatisha furaha ya Chelsea ambapo limesababisha mechi baina ya timu hizo kumalizika kwa sare ya 2-2 katika Premier League, leo...
Ni kauli ya Rais wa TFF Leo Arusha akitoa hotobu mbele ya mkutano mkuu,kauli yake nadhani anamlenga Michael R wambura kwamba ni mkorofi analengo la kuharibu mpira.
Nimeshangaa kwann kamuhusisha...
Simba mtalia sana mwaka huu.. Mtalia kinyama .. Mtalia ndani mtalia nje. Mtalia ofisini mtalia nyumbani. Kifupi mwaka huu hadi ujao mtakuwa wakiwa sana. Mtakuwa wanyonge shambani mtakuwa wanyonge...
Bila kumungunya maneno. Pale Simba aondoke barbara arudishwe magori. Haiwezekani Simba mechi tatu na mtani sisi wa kufungwa tu. Matola pia ni kichomi pale kuendelea kuwapanga akina mkude mzamiru...
Utopolo haiwezi kushinda mechi yoyote bila kutumia mbinu chafu ya kupitisha bahasha za khaki kwa timu pinzani. Hiyo mbinu ndiyo ilisababisha wakapata ubingwa wa ligi msimu uliopita. Utopolo ni...
Inavyoonekana una ujuzi sana wa kuhangaikia pesa kuingia lakini pia usajili huu umeshindwa ku cover sehemu nyeti kabisa
Namba 6 na namba 9 zote hizo ni sababu ya ubahili
Mbaya zaidi mazungumzo...
Hivi polisi fc si umewadhamini pia kuhusu jezi?
Ombea sana keshokutwa waifunge yanga la sivyo hizo jezi zinazokuja kwa mafungu zitakudodea by the time mambo hata yakianza kutulia huko uzunguni...
Hii yaweza Kuwa habari mbaya kwa mashabiki wa simba na yanga lakini pia yaweza kuwa habari njema kwa timu pinzani kwa hawa watu.
hatihati ya Mayele kwenda Kwa Madima naona iko ukingoni kabisa...
Walitaka kumsajiri Adebayo, haikuwezelana.
Azizi K, wakasingizia hawakumtaka.
Mazonki, sijui mpaka anyakuliwe na wengine.
Hata ukiangalia hawa makocha wanaopishana hapo klabuni kama mbayuwai...
Kumbe kule Misri huo usajili mpya tulioambiwa kocha mzungu hajaupenda ni Moses phri na siyo Akpan
Kwa mwalimu keshaona Phiri mkali kuliko mzungu wake aliyemleta basi bora amchomeshe tu benchi na...
Niseme Wazi Yanga inakuja kuwa na kikosi kizuri Sana, na Niseme wazi kuwa Mayele ndiyo aina ya Washambuliaji wanaohitajika Msimbazi. Yaani katika nafasi tatu anazopata, mbili ni lazima akuadhibu...
Kila nikiangalia eneo la defensive midfield ya timu yangu Simba napatwa wasiwasi kabisa sababu viungo wote waliopo hadi sasa ni wa aina moja kwa mbalii Mzamiru anaweza kukaba ila eneo letu la...
Habari za wakati huu wadau,
Ndugu zangu wa simba poleni sana na hongereni sana yanga mabingwa wa kihistoria kwa ushindi wa leo.
Karikoo derby imemalizika kwa ushindi wa goli 2 kwa 1 kwenye...
Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..