Endeleeni tu Kumchekea huyo Msemaji wa Yanga SC Haji Manara na Upuuzi wake, ila ipo Siku mtatukumbuka tunaowaonya 24/7 kwa Madhara makubwa ambayo yatatokana nae huku mkimuogopa au mkiogopa kwakuwa...
Yaani nikiona Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya Maadili TFF mmemsamehe Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara baada ya Yeye leo Kuwaombeni Radhi nitawadharau na Kuwachukia Milele.
Rais wa TFF...
Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili.
Manara alionekana akijibishana na...
Hongereni sana TFF kwa kulinda nidhamu ya taasisi yenu, hata hivyo mnatuacha njia panda sana kwan baada ya mwezi mmoja au 2, zungu pori atasamehewa, licha ya makosa yake kujirudia rudia lakini...
Niseme tu yanga ndiyo klabu inayoendeshwa kwa mpangilio wa hali ya juu yaani level za la liga, communication kati ya kitengo hadi kitengo ni ya hali ya juu na kwa nidhamu ya hali ya juu sana...
Habarini,
Kwasasa Timu Ya Taifa Ya Tanzania kwa upande wa Wanaume kwenye mpira wa miguu, Kwa Miaka Mingi Imekuwa haifanyi vizuri katika Mashindano Ya Timu za Taifa. Hii inatokana na kukosa...
Goli la dogo Pape Sakho ambalo linawania Tuzo ya Goli Bora la Mwaka la CAF limeingia kwenye orodha ya magoli matatu ya mwisho ambayo yanawania tuzo hiyo.
Sakho anachuana na Gabadinho Mango wa...
Kwa mlundikano wa Makosa ya Mhamasishaji wa Yanga SC na Jeuri zake pamoja na Dharau anazowafanyia Watendaji wa TFF Injinia Hersi Said na hata Watu wa Yanga SC wenye Akili wanajua kuwa kwa Haji...
Imedaiwa kuwa kiungo wa Barcelona, Frenkie de Jong hataki kuhamia Manchester United kwa kuwa haupendi Mji wa Manchester na anaamini klabu hiyo haiendeshwi vizuri.
Ilielezwa kuwa Man United...
Hili sakata bado zito sana.
Ni mawili.
Subiri mwezi wa 10 ili umchukue mchezaji akiwa huru. Au peleka signing fee ya $100,000 ili chezaji apewe release letter na mukamilishe usajili wake...
Habari zenu wadau.
Tuuweke ushabiki wa Usimba na Uyanga pembeni angalau kwa muda mfupi katika hii mada.
Pamekuwa na ubishani mkubwa sana kuwa Clotus Chota Chama ndiye mchezaji bora zaidi kuwahi...
Halafu acheni Kupeleleza kila mara Simba SC anataka Kumsajili nani ili nanyi mjitutumue Kumsajili.
Mnajifanya Kuficha Siri ila imeshafichuka kuwa kumbe nanyi mlimtaka Okra ambaye anamzidi Aziz K...
Baada ya mabingwa wa ligikuu kutangaza kubaki na Moloko huku Yacouba Sogne na Chico Ushindi kupewa mkono wa kwaheri, ni dhahiri sasa Prof Nabi amekusudia kumtumia Stephane Aziz Ki atakuwa...
Walianza Berkane. Wakafanya umafia wao kwa Adebayor.
Wakafuata Yanga SC. Wakafanya umafia wao Kwa Aziz KI.
Akaja Rais wa Vipers SC akafanikiwa kuwabania Ceaser Nzoki. Hata ikawafanya waende...
Ukitazama kwa umakini na ukaweka kando ushabiki na mapenzi utakuja gundua kuwa kwa kikosi hiki cha wakina Chibu Denis, Sakho na pimbi wenzao wakina Banda utagundua dhahiri kuwa hakuna jambo jipya...
Tunashindwa hata kumfunga Azam aliyechezeshewa bao mbili na Mbeya City, Sisi tuna akili kweli?
Kwa namna hii ya Uchezaji Mnategemea tungefanya nini jipya kwenye michuano ya Shirikisho CAF?
Gape...
Upo msimu ujao.
Msimu ambao panick buy ya wachezaji itafanyika pasi na kuzingatia vigezo na matakwa ya kiufundi. Msimu ambao hata mwalimu atakayrkuwa akiiongoza hatoweza kuwa na First 11 yake kwa...