Kwa kujibu wa maelezo yake, Manara kasema alikosea kujibizana na Karia (pamoja na kuwa Karia ndiye aliyemuanza). Hajakiri kumtukana Karia. Mpaka sasa hayupo aliyethibitisha matusi kutoka kwa...
VIPAUMBELE VYANGU ENG HERSI SAID NIKIWA RAIS WA YANGA
(1) MIUNDOMBINU YA KLABU
(a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000-KAUNDA JANGWANI.
(b) Marekebisho ya jengo la...
Rais wa TFF Wallace Karia hata kama Mhamasishaji wa Yanga SC Haji Manara aliomba 'audince' nawe ili Kukuomba Msamaha akisindikizwa na Injinia Hersi Said ulichotakiwa kufanya ni Kumkwepa...
Mhamasishaji wa Yanga SC amekubali makosa aliyofanya kwa Rais wa TFF Ndugu WALLACE KARIA na kusema alienda kumuomba msamaha nyumbani kwake huku wakinywa juice.
Baada ya kukana hadharani kwamba...
Golden State Warriors imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi ya Kikapu ya NBA 2022 ikiwa ni mara ya nne ndani ya miaka nane iliyopita.
Imeifunga Boston Celtics kwa vikapu 103-90 katika mchezo wa...
Gulf FC iliishinda timu ya Koquima magoli 91-1 huku timu ya Kahunla Rangers ikiichapa Lumbebu 95-0.
Timu zote mbili zilikuwa na pointi sawa (32) lakini moja ilihitaji kuzidi kila mmoja ili kupata...
Ukiwaangalia man utd ya sasa ni kama wamejikatia tamaa wanasubiria ligi ikwishe tu wajue hatima yao kama wanadondokea Jumanne&Jumatano au Alhamisi.
Timu imekosa Morale kuanzia wachezaji mpaka...
Manara the greatest, the brightest, kijana mstarabu mwenye elimu yake nchi hii yaani degree mbili za south africa na china hajawahi kushindwa vita
Hii ni kwa sababu ana upako wa Mungu yaani ni...
jana Genta a.k.a popoma bobefu lilishusha exclusive kali kabisa ya mwaka kuhusu simba sc. likashusha points 7 matata sana za ndani ndani
Wakati nikiwa na digest exclusive hiyo nikapokea simu za...
Ni deus kaseke mchezaji ambaye kuna wakati timu ilionekana kumuhitaj hasa ilipokuwa kwenye kipindi kigumu
Je wakati sahih wa kupisha ili ipatikane changamoto mpya?
Mimi ni mwana-Simba na nilivutiwa sana kuona Simba ikizidi kusonga kidigitali ila hii digitali yao imelala nyuma kama kawaida yetu suala la ICT linakuwa tofauti na kulizika kabisa na mifumo yao...
Msemaji wa Yanga Haji Manara ameufya kwa kuamua kujishusha baada ya kumuomba radhi Rais wa TFF Wallace Karia kuhusu jambo ambalo lilitokea Jijini Arusha wakati wa fainali la Kombe la Shirikisho la...
Haya ngoja tuone
Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison
Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga...
Malacia said: “It’s an incredible feeling to have joined Manchester United. This is a new chapter for me, a new league with new team-mates and a tremendous manager [Erik ten Hag] leading us.
“I...
Nikiwa nasema Mashabiki wa Yanga SC mna Matatizo mengi Ubongoni mwenu msiwe mnakasirika.
Mlisema Haji Manara hakutukana na wala hakutenda Kosa na mkapa Kiburi kuwa mtamtafutia Malori Saba ya...
Kufuatia mfululizo wa matukio yake ya kupishana maneno na watu wanahabari, wadau wa soka mbalimbali, sasa ni vyema TFF ikampeleka jela ya kabumbu Bw.Haji,
Na hata CAF nao wanapaswa wawazuie...
Shirikisho la Soka nchini humo Fecafoot limesema wachezaji 44 kutoka katika vilabu 8 nchini humo wanachunguzwa kwa tuhuma za kughushi umri wao au utambulisho wao.
Iwapo watapatikana na hatia...
Kwenu Wabobezi wa Marketing hivi Kupunguza Bei ya Bidhaa ili Uuze nyingi na Utambe kwa Watu ndiyo Mafanikio Kibiashara au Mafanikio zaidi ni Kuuza kwa Bei ya Juu hata kama utauza Chache ile...