Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi? John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake. John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC. Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hali ya mchezaji wa zamani wa yanga kipaji kimekufa? Nimeikuta mahali wengi wanasema amekuwa boda boda
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Habari zenu mabibi na mabwana! Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid. Awali fainali hii...
31 Reactions
269 Replies
18K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Pale Simba kwa wachezaji wa Nje wabaki wawili tu Inonga na Kanoute. Hawa kina Onyango ni wakati wa kwenda kupiga kura huko Kenya na Kubakia huko huko. 2. Mayele...
9 Reactions
9 Replies
958 Views
Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012 And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears. Actually it was my first...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mashabiki wa Yanga uzi huu ni kwaajili ya kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya usajili kwenye maeneo yenye mapungufu ili kuifanya Yanga iwe imara zaidi ili kwenye klabu bingwa ifanye vizuri kwa...
3 Reactions
28 Replies
4K Views
Mimi naijua Simba, sijaanza kushabikia Leo wala jana, nmeanza kwenda uwanjani kuangalia Simba enzi za akina Aston Padon, Juma Limonga, Sunday Juma, Mosses Mkandawile, Omary Hussein Kevin keegan...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo. Kwa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa ninavyoelewa, endowment fund huwa zinatolewa na matajiri kama msaada. Yaani hiyo pesa inawekezwa na faida anapewa yule mnufaika wa msaada. Lengo huwa na mnufaika kuwa na pato endelevu. Sasa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii. Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno position badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa...
3 Reactions
5 Replies
782 Views
Wachezaj na viongoz wa timu tajwa hapo juu msimu huu mlisajiri vizuri chombo chenu Cha usafiri na hii iliwafanya msafiri kwa raha Sana Tena mno na hamkusajir uwanjani kwasababu hakikuwa kipaumbele...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Wahenga wa JF Wapo WanaSoka wengi maarufu walochezea Klabu kubwa Tanzania kama Simba, Yanga , Pan Africa bila kusahau Timu ya Taifa ( Taifa Stars) Tunawapongeza kwa mchango wao mkubwa wa...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Apewe sasa heshima yake. UCL ya nne hiyo hapo. Kachukua msimu huu akiwa na kikosi cha kawaida sana (Real Madrid). Soma > FT: 2022 Uefa Champions League Final | Liverpool 0-1 Real Madrid | Paris...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Kiukweli mimi ni simba ila nikiri simba awamu hii tupo hoi ibn taaban Yaani kibu pamoja na kuvuja midamu yote ile bado kafosiwa aingie uwanjani hii ni kutokana na timu kujaa wachezaji vilaza...
11 Reactions
63 Replies
4K Views
Naomba Kukiri wazi kwamba Mimi ni mwanachama wa Simba , Siipendi Yanga kuliko maelezo , lakini huwa nina huruma sana . Yanga hii bila shaka itatwaa Ubingwa wa Msimu huu wa hiyo ligi ya NBC ...
11 Reactions
70 Replies
4K Views
Tanzania kama Mwenyeji imeambulia nafasi ya Tano kati ya Nchi Saba zilizoshiriki mashindano ya Afrika Mashariki ya Riadha (EAAR), kwa Vijana wa Umri chini ya 18 na 20 yaliyoshirikisha Nchi zaidi...
0 Reactions
2 Replies
561 Views
Back
Top Bottom