Habari Wana JF
Baada ya mechi hii kuisha ....board ya wahariri/ wachambuzi mahiri na mabingwa wa kuchambua soka Africa (UWABATA)
Tumekuja na uamuzi wa kukishauri chombo chetu Bora cha mpira hapa...
Tabia za Mwalimu zinamchango mkubwa kwa mwanafunzi kufauru somo. Mwalimu ni kiungo katika kunogesha akili ya mwanafunzi. Mwalimu anaweza kuwa na digriii mia moja, lakini akikosa sifa moja muhimu...
Huyu ni miongoni mwa makocha wanaolipwa hela nyingi, si kocha wa bei rahisi, halipwi kama Kishingo. Ni kocha wa mshahara kama wa Uchebe.
Ikumbukwe kwamba MO halipi mshahara wa kocha wa Simba...
Yanga na Simba zinatarajiwa kukutana katika Nusu Fainali ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) 2021/22, leo Jumamosi Mei 28, 2022 kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, huo ni mchezo wa mwisho kwa...
Kama Simba inataka ifanye vizuri na ibebe vikombe vya ndani na nje sajili hawa kama wewe mwanaume tajiri
Wanaoitwa na kucheza timu za Taifa za
Afrika
1,Senegal
2,Ivory Coast
3,Nigeria...
Sijaona kama wameliona hilo lakini kesho ndio kesho,mema yote yaliyofanywa kwa misimu mitano hayatahesabika kama simba atashindwa kufunzu final.
Kila kitu kitaharibika na kuvurugika na kwasabau...
Japo mimi sio kocha na sijawahi kuwa kocha wa mpira lakini ifike mahali makocha waache formation za kucopy na kupaste.
Eti unatumia formation fulani ya mpira simply eti kwa sababu inatumiwa...
Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu...
"GENTAMYCINE nisikudanganye Rafiki yangu na Nisamehe kwa huu Ukweli ila Mechi yetu na Yanga SC tunayocheza Kesho hapa Mkwakwani Stadium Tanga tumeshaiuza kwa Tsh Milioni 40 na Kesho Coastal Union...
Baada ya tathmini yangu, nimegundua kuwa Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu na atabakia na kombe lake la Carabao.
Wote ni mashahidi, kwenye EPL tumeona moto wa Man City ambaye kwa mechi...
Kwa michezo kadhaa niliyofuatilia msimu huu, naona bingwa wa msimu huu atakuwa kati ya Bayern Munich au Liverpool.
Kwa upande wa Liverpool itategemea endapo hatakutanishwa na waingereza wenzie...
ivi inakuwaje Jürgen Klopp anapewa tuzo ya Kocha bora wa ligi kuu EPL na hajatwaa ubingwa wa EPL?
Sababu hasa ni nini?
Maana kama ni kuwa pili ina kocha bingwa amezidiwa ubora pamoja kubeba...
Nimekuja na ushauri baada ya kuona ligi yetu inazidi kukua na mpira kwa ujumla.
Nashauri, TFF na serikali ni wakati sasa wa kuboresha viwanja vyetu vya mpira kama ifuatavyo;-
Kwa kuanza...
Wasalaam,
Wanamichezo,wadau na wapenzi wote wa soka.
Moja kwa moja bila kupindisha ni kwamba,mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu,
Huku baadhi ya wakazi wa Mwanza na Tanzania nzima kwa wale...
Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi.
Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua.
Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
Tarehe kama ya leo miaka 10 iliyopita, Timu kubwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, Simba Sports a.k.a Lunyasi walimnyoa Yanga jumla ya magoli 5-0.
Unakumbuka nini kuhusu mechi hii? Karibu...
Nafikiri mpaka apo akuna swali yanga anakwenda kubeba makombe yote msimu huu, pongezi kwa kocha Nabi kwa mbinu bora amedhihirisha sio kocha wa kubahatisha, pongezi kwa wachezaji, wamefanya kaxi...
Leo ni kilele cha ile siku pendwa ya Simba day ambapo inafanyika kwa mara ya 13 mfululizo. Tupo hapa kukuletea matukio yote muhimu toka Benjamin Mkapa national stadium.
Ungana nasi wanasimba wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.