Mpira tumecheza ila bahati haikuwa upande wetu. Ubingwa tumeutema. Mnaonaje tukimrudisha Gomez au tumshauri mwekezaji wetu MO DEWJI amnunue Nabi kwa bei mbaya. Mpira ni hela. Mi naona hata lile...
Mimi kama mwanachama hai wa Simba na shabiki ndakindaki nina wasiwasi na na uwezo wa Simba kuchukua kuwatoa Yanga nusu fainali kutokana na mizaha ya Simba halafu isitoshe Yanga hawana tena presha...
Huu mtihani unachukuliwa poa sana.
Nadhani hata viongozi wanaona ni mwepesi kwakuwa mtani wao aliweza kufanya vyema kwenye medani hizo huku akiwa Bingwa wa Ligi akiwa na perfomance mbaya kuzidi...
Mashabiki wa Simba wanadeal na timu yao, pamoja na makosa ya waamuzi yaliyowapa Yanga matokeo hadi wanaenda kuchukua ubingwa hatujasikia mashabiki wa Simba wakilalamikia TFF wala Karia.
Yanga mna...
Hizi ndio mechi mchezaji anapewa fungu ili auze au apoteze ushindi kwa makusudi. TAKUKURU zuieni hilo mapema.
Zipo fitina kibao kama mchezaji kulazimisha kupewa red card ilimradi timu yake...
Habari za muda huu
Naleta mada kibishi hapa jukwaani.
Hivi wanasimba wenzangu hatuwezi kushinikiza Said Ndemla kurudishwa kikosini?
Ukilinganisha Aliondolewa Ndemla akaletwa kanute na...
Cheza sasa kwa 1000 ushinde Bilioni 1 na SportPesa.
Ni Supa Jackpot Ya Bilioni Moja kwa 1000. Jackpot mbili kila wiki za SportPesa!.
Dar es Salaam. 25 Mei ,2022. KAMPUNI ya Michezo na Burudani...
Kwako Bumbuli. ombea sana kesho mshinde la sivyo mkifungwa wa kwanza raia wa utopoloni kushuka naye jumlajumla ni wewe
Umefanya press conference na Ahmed , ulishindwa kabisa kumpa makavu ya...
Mashindano ya Olyimpic yanaanza kutimua vumbi huko Tokyo Japani.
Kila nchi iko kule ili kujitangaza na kuonyesha Ubabe, Mashindano ya Olyimpic pia ni kipimo cha Ukubwa wa nchi kiuchumi fuatilia...
Watanzania Waangukia Pua Kwa siku ya kwanza kwenye mashindano ya Riadha ya EAAR kwa vijana wa chini ya umri wa miaka 18 na chini ya miaka 20 inayoendelea katika uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini...
Yaani tungeingia nusu fainali , hizi habari za kuombeana njaa wala zisingekuwepo kwa kweli maana kama siyo namba 9 tungekuwa wa 10.
Anyway wakati dua mbaya tunaelekeza kwa Etoile du sahel ya...
Emanuel Giniki Gisamoda na Gabriel Gerald Geay ni Wanariadha Wawili mpaka sasa wanaotarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Dunia yatakayofanyika Eugene, Oregon nchini Marekani, kuanzia Tarehe...
Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo.
Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba...
It's greats especially in expanding sports tourism thank mama #SSH for an unique exposure
Dar es Salaam. Former Tanzania national football team (Taifa Stars) head coach Marcio Maximo is expected...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.