Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali. Lionel Messi...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Tumeona wiki zilizopita kuwa baada ya Manchester United kushindwa kufuzu Ulaya ndipo UEFA ikakaa chini ibuni mbinu hata kama ya kijanjajanja ili mradi Man Utd wafuzu Na nyie mmeona Man Utd kapewa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Simba imewaudhi mashabiki zake kwa kuwadanganya kuwa raundi ya 2 watakamata usukani na kuendeleza yale ya msimu uliopita kwa kubeba ubingwa, kilichopo sasa ni dhahiri mtani amenyanyua makwapa...
4 Reactions
12 Replies
901 Views
Bodi ya Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ umethibitishwa rasmi kupitisha mchakato wa Klabu ya Chelsea kuuzwa kwa paundi bilioni 4.25, ambapo mnunuzi ni Bilionea Todd Boehly. Klabu hiyo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwanza niweke wazi, Mimi ni mwanachama wa yanga na ni mnazi pia wa klabu hii. Nimeamua kuandika uzi huu ili kupata mtazamo wa watu mbalimbali ambao wanauelewa mpana kuhusiana na maswala ya soka na...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Nimemfuatila kwa karibu akicheza.Jamaa anajua mpira. Ana-receive mpira vizuri, anajua kuwatoka mabeki (bila kutegemea mambio) na anaweka krosi nzuri sana (za kuchungulia). Ofcoz bado hajawa na...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Simba ilishamalizana na Morrison kitambo tu, haina mpango wowote na Morrison, azimio la bodi ya wakurugenzi ni kuachana naye, na kwa vile mktaba wake haukwisha, walimwambia apumzike hadi msimu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Habarini wana jamvi nimetumia siku nzima ya leo kutazama game zote 4 za Yanga SC zilizopita ili nipate kufahamu jambo lililo nje ya macho yetu mawili. Kwa uwezo wa Mkongomani huyu Fiston Kalala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naam! Karibuni Sana Wapenzi Wa Soka Na Wapenzi Wa NBC Premier League Ama Kwa Hakika Leo Mei 23, 2022 Itapigwa Mbungi Hapa Kati Ya Biashara United Mara Ama Wanajeshi Wa Mpakani Wakiwaalika Dar Es...
4 Reactions
167 Replies
11K Views
Hatimaye Serikali ya Uingereza imeonesha njia ya wazi kwa Bilionea Roman Abramovich kuiuza Klabu ya Chelsea kwa Todd Boehly kwa paundi bilioni 4.25 (Tsh. Trilioni 12.3) ndani ya saa 24 zijazo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Bora mara mia kufuatilia siasa za Kenya utajifunza mengi ya muhimu kuhusu demokrasia kuliko siasa za Tz. Bora kufuatilia ligi ya soccer la Uingereza/Ulaya utajifunza mengi kuhusu soccer kuliko...
1 Reactions
6 Replies
639 Views
Viongozi Simba acheni kiburi, Morrison ni msaada mkubwa kwetu, timu haina mtu wa kufoc, Sakho, Banda na Mhilu bado wachanga sana, ujeuri wenu na majivuno mnawaumiza mashabiki wenu, watu mitaani...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu, Kiwango cha Simba kinazidi kuporomoka mno. Mbaya zaidi ni kama wanachama na mashabiki tumekubaliana na hii hali. Tunapaswa kuhoji viongozi wetu, huu ni muda wa uwajibikaji. 1) Kwanini...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Ndugu zangu wanasimba wenzangu kwanza niwape pole kwa kuendelea kupoteza mwelekeo kwenye ligi na kuzidi kupishana na mpinzani wetu Yanga. Kuna mambo kadha wa kadha nataka kuyaweka sawa ambayo...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Nimeona uchezaji wa mawinga wa simba leo sio stubborn hata kidogo kwa game tough. Morrison katusaidia sana kuleta mivurugano kwa mabeki kwenye game za namna hii. Nawaombeni viongozi wetu...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kama sikosei huyu Pep ana miaka si chini ya mitatu kwenye mkataba uliopo sasa kwa jinsi timu za EPL zinavyoperform na zilivyoperform misimu miwili iliyopita wakati Pep anachukua ubingwa mfululizo...
2 Reactions
80 Replies
8K Views
HT 0-0 Orlando 77% to win Zbc live Kipindi Cha pili kimeanza ========================== RS Berkane yatwaa ubingwa kwa penati RS Berkane ya Morocco imetwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho...
5 Reactions
81 Replies
6K Views
Wivu hufanya mtu aendelee kudumaa hufikiri ktk mawazo hasi mara zote hufurahia hasara kwa mwenzie kuliko kutatua udumavu wake. Well msimu uliopita @simbaSCTanzania ilikuwa ktk kundi moja na...
8 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuelekea kuanza kwa msimu mpya wa ligi pendwa duniani al maarufu EPL hapo Jumamosi ya tarehe 13, Agosti 2021. Hii ndio top 4 yangu kwa msimu huu mpaka inafika tamati. 1. Chelsea FC 2. Man City...
17 Reactions
124 Replies
11K Views
Leo, tuwakumbuke wachezaji kutoka kusini mwa Afrika waliowahi kucheza soka hapa Tanzania, nikianza na Wisdom Ndlovu kutoka Malawi, huyu alicheza Yanga. Unamkumbuka yupi? Endeleaa..
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom