Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mabao ya Mayele, Said Ntibanzokiza ‘Saido’ na Dickson Ambundo yalitosha kuipeleka mapumziko Yanga ikiwa kifua mbele kwa mabao 3-0. ⚽️' 34, F Mayele ⚽️' 39, S Ntibazonkiza ⚽️' 44' D Ambundo...
3 Reactions
176 Replies
10K Views
Simba imeshuka uwanja wa ndege ikiwa na mchezaji Triple C ambaye ilidaiwa kuwa na ugomvi na kocha wake Pablo, hata hivyo cha ajabu na cha kushangaza Chama alikuwa ameficha uso asionekane, lakini...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Huwa ninaona wachambuzi wetu wa soka wanachokiongelea mara nyingi sio sayansi ya mpira. Nammiss sana Dr Leakey Abdallah kwa vile simuoni mara kwa mara katika kazi hii aliyoifanya vizuri mno kiasi...
5 Reactions
7 Replies
728 Views
By Masau Bwire More by this Author USHIRIKINA na uchawi katika soka la Tanzania kama siyo Afrika unafanyika karibu timu zote - iwe klabu au timu za Taifa ni kawaida wote wanaamini bila...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba tukumbushane. Watu tumeanza kusahau. Naanza: 1. Wizard SC 2. 3.
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimekuwa nikiona mijadala mbalimbali ikiendelea hapa wakishindanishwa magolikipa diarra na Manura kwamba nani ni bora, Naweza kusema golikipa Djigui diarra kuna vitu vingi sana kamzidi manura...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Vijana wengi mtakuwa hamna kumbukumbu ya huu msimu. Yanga ilikubali kufungwa na Simba mechi ya mwisho ili simba isishuke daraja na kwa kufungwa huko Yanga ikakosa ubingwa. N.B kwa new school aka...
19 Reactions
48 Replies
4K Views
Droo ya 3-3 dhidi ya Brentford na 2-2 dhidi ya Brighton umehitimisha juhudi zao kuelekea ubingwa wa epl msimu huu!Liverpool wasahau kabisa kwa uzembe waliuonyesha!! Chelsea ni timu iliyokamilika...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Ndio hivyo ukweli lazima usemwe.. Licha ya Mkoa wa Mbeya kuwa na mchango mkubwa kwenye michezo mbalimbali ikiwemo soka, ukweli ni kwamba umekuwa unatengwa na TFF... Licha ya kuwa na timu Kati ya...
1 Reactions
39 Replies
2K Views
unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano? Basi hayo yamejitokeza kwenye...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
YANGA ina dakika 270 tu za uwanjani za kupeleka Jangwani taji lake la 28 la Ligi Kuu Bara na kocha wa vinara hao, Nasreddine Nabi ameitaja Juni 22 kuwa ndio siku ya kukamilisha furaha ya Wananchi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Leo imetusuliwa ngoja tusubiri maelezo zaidi
3 Reactions
74 Replies
10K Views
Kwa yale aliyoboronga mechi ya jana leo tokea asubuhi redio karibu zote na mijadala mingi ya kumkosoa imeibuka na kuendelea hadi mida hii karibu katika kila kipidi cha michezo Ni wakati sasa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Juzi bondia Abdallah Pazi maarufu Dullah Mbabe alipata fursa ya kuandaliwa pambano na bondia chipukizi wa Masasi aitwae Ramadhan Migwede, Dullah alifanikiwa kushinda pambano hilo kwa knockout ya...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
CEO wa Simba sports club Barbara Gonzalez kuna tetesi akafungiwa miaka mitano 5 au maisha kujihusisha na michezo haswa football Hii imetokea baada ya yanga kupeleka malalamiko TFF kuhusu tuhuma...
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Mpira wa Tanzania sasa umeshaingia ktk sintofahamu, naona kuna mpango wa kufungia viongozi wa Simba, je, tutafika.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari za kutwa ndungu zangu Mimi ni kijana mwenzenu mwenye nia thabiti ya kuweza kukuza mpira wa Tanzania kwa kuwa mchezaji namba 13 yaani namaanisha mwamuzi(refaree) lakini changamoto ni moja...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Kama wewe ni mionhoni mwa watu wanaodhani kuwa BM3 ni mchezaji wa ovyo asiye na akili, basi tambua wewe ndio wa ovyo na usiye na akili mwenye IQ ndogo
0 Reactions
13 Replies
936 Views
Back
Top Bottom