Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
2 Reactions
5 Replies
801 Views
Habari za jioni wadau, Mungu ni mwema sana kwa kutupa nafasi nyingine ya kuiona siku ya leo iliyosindikizwa na mechi ya kibabe kati ya simba na Azam mchezo ambao umemalizika kwa sare na wote...
0 Reactions
2 Replies
733 Views
Nimekuwa nasikia tambo na majigambo toka kwa viongozi, makocha na hata mashabiki wa Simba juu ya uhakika walionao kubeba ubingwa wa NBC premier league msimu huu. Lakini mimi kwa uelewa wangu ni...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Wakuu, naomba kufahamishwa tu ili nijiridhishe kwani ananogesha vipindi kama walivo akina Mkude.
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mpira umekua na vituko vya ajabu sana hususani hapa kwetu Tanzania,eti baada ya kuonyesha uwezo mkubwa wa kuzifumania nyavu mchezaji Fiston Mayele limetokea kundi kubwa sana la watu waliotokea...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League imeendelea tena leo Mei 17, 2020 ambapo Mbeya kwanza FC walikuwa wakiwakaribisha Geita Gold FC kwenye Dimba la Maji Maji mkoani Songea...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Beki hodari wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ana miaka 21 kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya habari. Kwa mtindo huu atalitumikia Taifa kwa muda mrefu sana kama ilivyokuwa kwa Nsajigwa. Hakika...
12 Reactions
56 Replies
6K Views
Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
1 Reactions
3 Replies
995 Views
Hii mechi tulishashinda kitambo. Leo Mayele lazima atupie hata 2 kuondoa Gundu mlilomtupia nyie Simba. Hii team yetu kabisa.... Dodoma hawawezi kutukamia... Yanga tumejipanga hasa msimu huu...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni katika duru ya pili ya marudiano sasa ni dkk ya 83,T.P.Mazembe wanacheza wakiwa pungufu,waamuzi ni kama wote wako upande wa berkane, Kila juhudi hapa inafanyika mazembe watolewe.very sad mpira...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa namshabikia sana Karia, niliona ana mwelekeo mzuri sana wa kusaidia kuinua soka letu mbele, lakini baada ya kufanya tathmini kwa kuangalia demokrasia naona Karia anajenga chuki...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Katika dunia hii ya technologia iliyokomaa watu wanapunguza muda wa kwenda kwenye ma-ofisi mguu kwq mguu. Club ya Yanga kama kweli wanataka kuongeza wigo wa wanachama wao.waanzishe mfumo wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Timu za Berkane na Orlando Pirates zimefika hatua ya final mashindano ya caf championship, Hii ni mara ya pili kwa timu ambazo zilifungwa na Simba kwenye uwanja wa Mkapa kufika hatua ya kucheza...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeipiga faini ya USD 10,000– (Takriban Tsh. Milioni 23) Klabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kufanya ‘tambiko hatarishi’ katika mchezo dhidi ya Orlando...
4 Reactions
50 Replies
5K Views
Yaani shuzi limepata mjambaji ndugu zangu, kesho vipindi vya asubuhi haswa kile cha Efm lisaa lizima topic itakuwa ni faini ya milion 23 kwa simba kuna mtangazaji mwenye kidoti atakuwa...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Hakika nawasalimu. Mimi si mpenda soka Sana. Kwa mtazamo wa kitaaluma, soka ni zaidi ya watu wengi tunavyofikiri. Vijana wanapenda Sana soka, wengine Kwa ajili ya kubet tuu baasi. Miaka kadhaa...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Mbwana Makata Kocha Mbwana Makata na Meneja David Naftali wa Mbeya Kwanza wamefungiwa kwa kipindi cha miaka mitano kila mmoja kwa kosa la kushawishi/kuamuru wachezaji wasiingie uwanjani kuanza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage amesema hakuna wa kuizuia Simba kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Shirikisho Afrika, lakini akajilipua kwa kutaja mechi nne za kuitoa Yanga...
4 Reactions
52 Replies
6K Views
dah siamini aisee, kutoka 12 hadi 14 anyway dah naona namungo bado wako palepale 56, hapo ndo mwisho wa list kama team yako hauioni pole sana Shida ni kwamba kwenye zile top 10 za kuanzia round...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Tuna tatizo la kujadili mambo mabaya na kuacha mazuri. Ni kweli lile ni kosa na limeshafanyika na Simba imeshapigwa faini limekwisha na kama kujifunza tumejifunza. Kuna mambo mengi sana kwenye...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom