Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao. Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini. Unatazama soka mpaka unafurahia. Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
8 Reactions
44 Replies
3K Views
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika...
4 Reactions
62 Replies
6K Views
Salaam. Pole na majukumu ya Kila siku. Niende moja kwa moja kwenye ujumbe wangu: Bernard Morrison jifunze katika maisha KUOMBA MSAMAHA! Kuomba MSAMAHA si unyonge!! Bali ni utu!! Una kipaji...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Matokeo wanayopata Yanga kwa Sasa Ni matokeo halisi ya mpira kwasababu kwa hapa ligi ilipofikia bahasha hazifanyi kazi tena. Kil timu ukiondoa mbili au nne za juu yeyote anaweza kushuka daraja ...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Ni App gani nzuri na ina mechi nyingi za mpira wa miguu ambayo naweza kuweka kwenye smartphone?
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Liverpool imefanikiwa kushinda Kombe la FA baada ya kuifunga Chelsea kwa penati 6-5 katika fainali iliyopigwa kwenye Uwanja wa Wembley, leo Mei 14, 2022. Hadi dakika 90 zinakamilika matokeo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa Wajihi na Kaliba ya kimuonekano ya Bw Ahmed Ally hafananii kabisa na wala hana uwezo huo linapokuja swala la kutaka kutupa dongo, na haswa kama anataka kujibizana na Msema hovyo wa ile Timu...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Kuna timu moja inajiita "tamu" inawindwa vilivyo na mnyama. Kwa kipindi kirefu imekuwa ikipokea wageni toka nje ili kuwapa utamu wake lakini mnyama amekuwa akikichafua hadi wanashindwa kupeana...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Zamani ilikuwa ni vigumu kwa Simba kumtema au kumweka mapumzikoni mchezaji tegemeo hata kama hana nidhamu, ilikuwa ikiogopa kuwaudhi wanachama na mashabiki wake kwa sasa hivi mambo hayo hamna...
9 Reactions
32 Replies
3K Views
Pape Sakho ni mchezaji mzuri sana ila ana kasoro nyingi sana, ni mchezaji laini sana, sio fighter kama Kibu Denis, anakabika kirahisi halafu ana dharau wakat bado mashabiki hawajaridhika naye, sio...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Timu ya Tanzania Prisons imepewa ushindi wa alama tatu na mabao matatu kwenye mchezo uliokuwa ufanyike February 11, 2020 baada ya timu ya Ruvu Shooting ambao ni wenyeji wa mchezo kushindwa kuleta...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Za ndani zinasema Simba kupewa points 3 kutoka mechi yao waliyocheza na Namungo na kutoa draw. Kuna mchezaji alikuwa hajamaliza adhabu ya card alichezeshwa na Namungo Sasa hivi ni upepo unasomwa...
3 Reactions
48 Replies
5K Views
Mchezaji Bernad Morrison inasemekana amerudi tena Yanga kuendelea na kazi yake ya uwakili msomi, hata hivyo pamoja na uzuri wake dimbani bado mchezaji huyo ni liability na sio asset. Yanga wakae...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
inawezekana vp manispaaa ina gari moja tu la wagonjwa... inakosa ambulesi katika mechi muhimu kama hii Au ni hujuma tu ili mbeya kwanza wapate ponti za bure Mechi kuhairishwa kwa sababu ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jumapili kuna mchezo hapo kati ya Dodoma vs yanga sc huu mchezo hakikisheni hawa 🐸 hawaondoki na point tatu. Tunajua wanafanya kila mbinu kuhakikisha wanapata point tatu, wakishirikiana na mbunge...
1 Reactions
15 Replies
960 Views
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kupitia ukurasa wa Twitter wa Darmpya Blog, imemnukuu Fredrick Mwakalebela akisema "Simba jana (Dhidi ya Kagera Sugar) wamefunga goli la Offside, goli la pili lilikuwa ni la Offside, goli la John...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Magoli yalofungwa jana tena kwa mara nyingine yamekua na utata... Goli la kwanza kipa ameuangalia mpira ukitambaa mbele yake taratibu pasipo jishughulisha kuudaka,hadi unamfikia mfungaji anafunga...
13 Reactions
59 Replies
4K Views
Kiwango kinachoonyeshwa na Kibu Denis kimewasuta wengi waliodai kuwa hakuwa na hadhi ya kuchezea Simba, jamaa ana nguvu, akikupa msuli ana turn right au left, kama hujala chakula vzr utamkuta...
10 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom