Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Siku hizi nafasi hii imekuwa msaada mkubwa kwa walinzi na nafasi yao ni kucheza kwa kuwasaidia walinzi na pia wakiwa na nafasi ya kutengeneza mashambulizi. Viungo kama Claude Makelele, Patrik...
5 Reactions
59 Replies
11K Views
Wengi hawataamini lakini ukweli ndio huu, Hali ya kukosa mabao kwa Yanga leo imeingia katika mechi dhidi ya Tanzania Prison, kabla ya hapo zimekuwepo mechi kadhaa ambapo Yanga mbali ya kucheza...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwenye kuweza kutupa msimamo wa ligi mpaka usiku huu naomba afanye hivyo. Yanga bila shaka amebakiza mechi nane kama sio saba mpaka kufikia leo huku akimzidi Simba kwa pointi kumi. Tusaidieni...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mashabiki wa Simba wanatumia Akili saana kueneza propaganda Zao siku hizi baada ya kuona mwaka huu kombe hawana wameanza propaganda kumtowa mayele kwenye reli Mara sio mshambuliaji Mara ni wa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nimeona uwanjani wakati timu zinapasha moto beki wa kulia Shaaban Juma alikwenda uwanjani kuchomeka hirizi katikati ya uwanja tena hadharani bila aibu, hii ni dalili tosha kuwa Yanga sio timu bora...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Mechi ya tatu Sasa point tatu kwetu zimekuwa mtuhani Kama wa physics advance Na kila timu haitaki kushuka daraja Sasa sjui itakuwaje Waliosema yanga ipo vizur wajitathmin Sana Tena mno Kila...
14 Reactions
58 Replies
4K Views
Mkiambiwa Yanga sc ni team bora afrika mashariki na kati msibishe jamani, rekodi zake CAf na rank yake inayosoma huko Cairo makao makauu pamoja na form kali waliyonayo msimu huu imekuwa kivutio...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa kweli Haji Manara na GSM kama wanataka kuishi kwa amani na kama wanataka kuwajua vizuri mashabiki na wanachama wao basi wakose ubingwa, maana haiwezekani timu iongoze ligi tangu mwaka jana...
3 Reactions
7 Replies
768 Views
Ndugu wadau Fursa imefunguliwa tena kwa mwaka huu, kwa wale wote wanaotamani kucheza mchezo wa green card lottery wakati ndio huu. Droo imefunguliwa kuanzia Leo tarehe 03/10/2017 mpaka tarehe...
2 Reactions
47 Replies
10K Views
Mechi nyingine ya tatu mfululizo Timu ya yanga inadroo leo. Hasimu wao, mtani na bingwa mtetezi ametoka kushinda mechi Jana Kwa ushindi mnene wa goli nne, lakini mechi ya nyuma kabla ya Ile ya...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Simba inashuka dimbani jumatano kupepetana na Kagera Sugar ambao raundi ya kwanza waliwadhalilisha ugenini kwa bao la mchezaji wao wa zamani Hamis Kiiza Diego. Kagera Sugar ni miongoni mwa timu...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Leo Mabigwa wa Kihistoria Yanga Sports Club naingia dimbani kupepetana na Tanzania Prisons, mchezo unatabiriwa huenda ukawa na ushindani wa pekee ukizingatia zinapokutana timu hizi, Tanzania...
3 Reactions
470 Replies
26K Views
Live dk 18 .Al ahly vs es setif Huu mpira umechangamka sioni hawa mapacha wa mchongo hapa mjini wakikanyaga hata nusu fainal labda baada ya miaka 20 kupita kitakapo kuja kizazi kingine tofauti na...
18 Reactions
64 Replies
4K Views
Uwanja wa Benjamin Mkapa ndio uwanja Mkuu wa mashindano mbalimbali ya Kitaifa na Kimataifa ya Mchezo wa Soka kwa timu za Vilabu na Timu Ya Taifa Hapa Tanzania. Kutokana na sababu mbalimbali...
3 Reactions
4 Replies
956 Views
Pamoja na kupoteza kwa magoli manne kwa moja timu ya Jkt Ruvu wamenikosha katika umiliki mzuri,jinsi walivyoweza kutumia nafasi kati ya mtu na mtu,kuanzia langoni mwao hadi kukaribia au kuingia...
2 Reactions
11 Replies
803 Views
Kocha Mkwasa kabla Ruvu Shooting yake haijacheza na Simba SC Jana... "Njooni muone ambavyo tutawakabili Simba SC, tuko vizuri, tumejipanga, tutawamudu na hatuna matatizo ya aina yoyote ile"...
1 Reactions
5 Replies
751 Views
Tetesi kutoka msimbazi ni kuwa kiungo wa Simba,Clatous Chotta Chama na Kocha Mkuu Pablo Franco walirushiana maneno kwenye vyumba vya kubadilishia nguo Aprili 30, 2022 katika mchezo wa Derby ya...
11 Reactions
57 Replies
6K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara NBC Premier League kupigwa leo Mei 8, 2022 ambapo Mnyama Mkali Mwituni Simba SC anamkaribisha Ruvu Shooting kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Takwimu na kila...
8 Reactions
164 Replies
11K Views
Back
Top Bottom