Droo ya robo fainali, nusu fainali na fainali ya msimu wa 2021/22 UEFA Champions League zote zitachezeshwa katika tukio moja.
Timu nane zilizobakia zitajua hatma yao kwa mashindano hayo makubwa...
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.
Hadi...
Naomba kuuliza kwenu wadau wa michezo , ile Sheria ya kusajiri na kuchezesha wachezaji kumi wa kigeni kwenye ligi ya ndani bado ipo? Na Kama ipo naomba ufafanuzi wa hili la Simba kuwa na wachezaji...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania NBC Premier League kupigwa leo ambapo Namungo FC anapepetana na Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa Ilulu mkoani Lindi.
Mchezo huo unatarajiwa kuwa mkali...
Hakika wiki iliyopita tulishuhudia mechi nzuri na yenye mvuto miamba hiyo na mechi iliisha 4:3 sasa leo kwa mara nyingine ni marudiano huko dimba la santiago bernabeu ...
Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba...
Uyu mzee wa midadi leo amekuwa uchochoro mbele ya Obrey chola chirwa, Inaonekana alitumia nguvu kubwa Sana kumzuia mayele asifunge akasahau kule namungo kuna kiumbe mwingine anayetumia nguvu na...
Afrika nzima tayari inafahamu bado dunia tu kujua, team yenye mafanikio kuliko zote afrika mashariki na kati na inayoongoza kwa ubora katika ukanda huo huku ikiwa team inayoogopwa zaidi kutoka...
AISEE sikutarajia kwa mtu kama Senzo, kwa msukule hiyo inajulikana linaishi mjini kwa ulaghai, uongouongo na kujipendekeza, hivi jana nani hajaona hali halisi ya uwanja , hii kujidanganya ni...
Nazani Cedric Kaze si kocha wa kiwango hiiiicho kama ambavyo inadaiwa. Upangaji wa timu na "Substitution"unamsumbua sana. Leo Yanga wamecheza mpira uliofanya akafukuzwa mara ya kwanza alipokuwa...
Refa kaikaba Yanga kwa kukataa lile bao halali la Ruvu shooting kwani kona au winga akikimbia na kumaliza uwanja na kutoa cross kwa vyovyote vile bao lile ni halali, vile vile ni kwenye kona...
Kumekuwa na maneno menginkuwa jana Kibwana Shomari aliweza kuwadhibiti wachezaji wanne waandamizi wa Simba.
Ajabu ni kuwa madai hayo hakuna aliyeweza kuyapa nguvu kwa kuambatanisha walau video...
Hatimaye Manchester United na Leicester City wamekubaliana dau la Pauni 80 milioni kwa beki wa kati Harry Maguire.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26 anatarajiwa kufanyiwa vipimo pale Manchester...
Hapa ndipo inapojulikana tofauti Kati ya timu ya WANANCHI na timu ndogo ndogo ( vikundi vya wahuni).
Derby ya YANGA vs SIMBA ambayo mwenyeji wake alikuwa Ni MWANANCHI imefanikiwa kuingiza pesa...
Nilidhani tungekuwa na mijadala ya kukataliwa kwa goli la wazi (Ruvu) na penati (Yanga) baada ya mchezo wa leo. Lkn story inayotamba midomoni ni ishu ya goli pekee.
Nauliza wenzangu, hakukuwa na...
Hivi Kocha mwenye Akili Timamu unawezaje kuwaanzisha Wachezaji Waandamizi na waliotumia Nguvu Kubwa katika Derby badala ya Kuwatumia wale wasiokuwa na Nafasi na ambao hata Kiufundi tu Mechi hi...
Katika miaka kumi iliyopita toka hapa tulipo, tathimini yangu inanionesha hajawahi tokea mshambuliaji hatari kama Fiston Mayele.
Donald Ngoma na Okwi angalau kidogo.
Angalia mechi ya Jana...
PEP GUARDIOLA NA MZIMU WA YAYA TOURE,UEFA CHAMPIONS LEAGUE
------------------------------------------------------------------------------
Hadithi inanza mwaka 2008 wakati Pep Guardiola...
Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo...
Senegalese Player, Krepin Diatta, lashed out at people, especially Africans, who mocked his physical look during the African Cup. This is what he had to say on social media:
"I am very sad to see...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.