[emoji599]Za chini ya Kapeti wanasimba tujiandae kupingana na ukiukwaji wa taratibu za mpira unaofanywa na Baadhi ya viongozi wa soka letu.kuna habari kwenye mitandao kuwa upo mpango wa kumfungia...
Jana Usiku kulikuwa na ufc #274 Kati ya Charles Oliveira vs. Justin Gaethje ambapo Justin Kapigwa KO na Amepoteza nafasi ya Kuwa New Ufc274 Champ
.
That's great to keep the belt vacant Lakini I...
Dimtry Bivol bondia kutoka Russia hatimaye ameweza kumshinda kwa points, bondia machachari kutoka Mexico Saul Alvarez Canelo katika pambano la raundi 12 lililofanyika Las Vegas. Pambano lilianza...
Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga...
Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo!
Morrison naye pia hayupo?!
Pablo anaihujumu Simba?!
Nb;
Simba ya makaratasi uwanjani leo.
Tafakuri Tunduizi kutoka kwa George RWECHUNGURA
LIGI DHAIFU AMA SIMBA DHAIFU?
Twende na hoja ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally kuhusu @nbc_premierleague_tanzania msimu...
Jumamosi kuamkia jumapili hii (tar 6-7) ni siku kubwa kwa wapenzi wa combat sports duniani; upande wa boxing kutakuwa na pambano kubwa linalomuhusisha bingwa na no1 P4P anayejulikana kwa jina la...
Hongereni Wanasimba kwa kukataa huyu mnafiki. Bwana Juma Nkamia ameangukia pua puu katika uchaguzi wa Simba hapo jana.
Nkamia ni mtu mwenye majivuno mengi.
Ni yeye aliyewahi kuja na hoja ya...
Nakushauri tu Mwalimu Masau Bwire ( Msemaji wa Ruvu Shooting FC ) uwe unanyamaza tu kwani Tambo zako huwa haziendani na Ufanisi wa Timu yako Uwanjani pale ikikutana na Yanga SC au Simba SC...
Mechi ya leo mancity na Newcastle itakuwa ya hasira. City wanataka faraja na kufuta huzuni kwa kufungwa na Madrid. Newcastle watapokea kipigo cha mbwa mwizi. City watafunga Masoli zaidi ya sita...
KATIBU Mkuu wa Kamati ya Olimpiki Tanzania, Filbert Bayi anadaiwa kuhusika na ufisadi wa fedha zinazotolewa na Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa (IOC) kwa ajili ya maendeleo ya mchezo wa riadha hapa...
Full Time: Simba inapata ushindi na kufikisha pointi 40 katika Ligi Kuu Bara.
Dakika ya 90, Meddie Kagere anaifungia Simba bao la pili kwa shuti kali.
Simba wanaongeza presha zikiwa zimesalia...
Majibu yangu......
Endapo Simba SC itamfunga Ruvu Shooting FC Siku ya Jumapili tofauti ya Alama ( gap ) na Yanga SC itakuwa ni Alama ( Points ) Kumi ( 10 )
Endapo katika hizi Tano kati ya Saba...
Kufuatia gazeti la michezo la Mwanaspoti la leo Mei 6,2022 kuandika kuwa sare ya Simba SC dhidi ya Namungo FC na Azam FC kupoteza mchezo dhidi ya Kagera Sugar, Yanga SC yatanguliza kwenye michuano...
Taarifa za chini ya uvungu ni kuwa kiungo mshambuliaji chama amerudi kwao kwanza sababu ya mgogoro wake na simba.
Ikiwa ni swala la yeye kutoiva na kocha hatari kutoka real Madrid Pablo franco...
Kwa kufanikiwa kumzuia Fiston Mayele asifunge goli kwenye mechi ya Simba na Yanga ya tarehe 30 APRILI 2022 basi nakushauri uende kanisani kwako unapo abudu ukatoe sadaka...
Kwangu Mimi Yanga SC iliyocheza Juzi na Ruvu Shooting FC ndiyo Yanga SC halisi na ule ndiyo Mpira wake.
Nasikia Tajiri wa Ghorofani Posta Mpya aliomba Juzi Wasihonge ili kuona itakuwaje na baada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.