KWENYE LALIGA Mpaka sasa Benzema Ni,
[emoji117]Top scorer wa laliga,
Ana magoli 26, Anayemfata ana magoli 15
(iago aspas-celtavigo, tomas-espanyol)
[emoji117]Top assist wa laliga,
Ana assist 11...
Kumekucha tena wakuu, habari zenu wapenda soka.? Ni imani yangu kua mko poa.!
Leo jumatano ya May 04 2022 kuna mtanange mkali mchezo na 168 wa NBC PREMIERE LEAGUE kati ya Ruvu shooting dhidi...
Hili wananchi lazima tulielewe.
Ni kweli straiker wetu amekuwa tishio kubwa kwa vilabu vya ndani lakini tukirudi kimataifa bado naona kuna kazi ya ziada inatakiwa ifanyike Ili kufanya vizuri...
Waligombana katika Mechi ya Derby Timu ilipokuwa Vyumbani kwa Chama kuzikataa Mbinu za Kocha Pablo ambazo aliziona zisingesaidia mbele ya Yanga SC na Kocha kuona anadharaulika.
Tafadhali Simba SC...
Tuna wachezaji wa kawaida sana ndo level zao hizo. Tofauti na Aishi Manula, Beki kama Zimbwe Jr, Henock Inonga, Achieng Onyango, Shomari Kapombe. Wengi wanacheza chini ya kiwango sana.
Huwezi...
Fulham ameshapanda wakati kashuka msimu wa karibuni. Norwich , Watford nao wanashuka na kupanda ndani ya muda mfupi. Burnemouth nae anaelekea kupanda wakati kashuka msimu uliopita.
Zamani...
Tuwe wakweli, Simba haina consistence kwenye uchezaji kiasi sisi kama mashabiki wa Simba kea msimu huu tunaishi kwa matumaini zaidi kuliko tunavyopaswa tuishi. Simba inaweza kucheza mpira kwa...
Baada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao.
Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba...
Je wajua ?!
Imebaki timu moja pekee katika timu (16) ambayo haijapoteza dhidi ya Yanga SC msimu huu mpaka sasa !!
[emoji735] Mbeya city
[emoji736] Simba sports club - x 1
[emoji736] Namungo fc...
Sisi mashabiki wa simba tunaitaji kujitafakari, ifike muda tukubali kuwa wenzetu upande wa pili wamejipanga kutuzidi sisi kwenye huu msimu, kitu ambacho tulikua tunajidai nacho ni ushiriki wetu...
"""Bondia wa ngumi za kulipwa nchini amefanikiwa kutunukiwa zawadi ya TV Inch 32 kufuatia kuibuka bondia aliyecheza vizuri zaidi katika pambano lake alilomchapa Elvis Mensah raia wa Ghana katika...
Tuambizane ukweli, tuache ujuaji usio na msingi. Ktk kipindi cha miaka minne, Simba haijawahi kuzidiwa pointi 12 huku ikiwa imwcheza idadi ya mechi sawa na Yanga.
Aidha, timu hii mwaka huu...
Wakuu ligi imekuwa ngumu,Obvious inajulikana Bingwa atakuwa Simba au Yanga.
Ili moja akutwe au aachwe zaidi kwenye msimamo unategemea atapoteza point kwa timu ipi ?
Kwa sasa bila shaka Yanga ni timu ndogo Sana. Kilichobaki kwa Yanga Ni uzee yaani Ni timu kongwe.
Ukisikiliza press wanazoitisha hawa watu wawili Manara na Bumbuli utagundua kwamba hawana plan...
Wasalam nimeona kwenye website ya kuaminika klabu ya Simba Sc, ni ya tatu kwa utajiri Africa, ya kwanza Al Ahly, ya pili Zamalek.
Orodha ya klabu tajiri Africa.
1. Al Ahly
2. Zamalek.
3. Simba...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC) Premier League kuendelea kuvurumishwa leo March 4, 2022 ambapo kwenye Uwanja wa Kaitaba, Kagera Sugar wanakipiga na Namungo FC, saa 10: 00 Jioni, huku...
Assalamu Alaykum.
Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.