Inna Lilah, Wa Inna Ilaihir Rajiuun,
Aliyekua Katibu Mkuu wa Yanga Bwana Abdul Sauko amefariki leo Alfajir katika Hospital ya Mloganzila.
Taarifa zaidi zitafuata
=====
Abdul Sauko (kushoto)...
Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau...
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka.
Huwa napata raha ya ajabu sana timu...
Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji...
Ronaldo original Amesema Kwamba alipata taarifa kutoka Kwa baadhi ya wahudumu wa sehem walikoweka kambi mwaka 1998 kwamba walimwekea sumu kwenye chakula na malazi ili asicheze vema , lakin...
Uyu bwana mdogo ni hazina ya taifa hapo badae akiendelea kujitunza vizuri, Ujio wa beki wa kimataifa Djuma shaban wengi tulijua tunakwenda kumpoteza uyu bwana mdogo lakini alituonyesha kuwa...
Mechi ya leo ilikuwa ni muhimu kwa pande zote mbili, Yanga walikuwa wanataka kujiongezea gap lubwa dhidi ya mpinzani wake.
Simba wao waliingia kwa lengo la kutengua kauli ya Yanga kuwa unbeaten...
Kulingana na ubora walio uonyesha klabu ya simba katika mechi hizi 3 za hatua ya makundi ya Caf confederation cup ni wazi vigogo hawa wa soka la afrika huenda wakaenda kutwaa taji hilo kubwa...
Kuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye...
Hello soka lovers JF
Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls
Midfield: Macho, kukaa kwenye...
MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI...
KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH...
Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah...
1. Diarra
2. Djuma...
Kwa miaka ya hivi karibuni Yanga wamekuwa wakiingia kwenye hizi mechi za watani wakiwa underdog. Hiyo inasemwa kuwa ilichanjia wao kupambana sana na hata kupata matokeo mazuri (kutofungwa) kwa...
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto.
Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao...
Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.