Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mimi sina maneno mengi. Huyu kijana haitaji uchambuzi mreeeefu,ni kitendo cha kukaa meza moja na timu na menejimenti yake basi. Kwani yeye hataki kushiriki fainali za CAF Champions mwakani?
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Yale maajabu ya mpira wetu wa bongo yameendelea baada ya mechi ya NBC Premier League, kati ya Namungo na Mbeya Kwanza, kuahirishwa sababu ikiwa ni ambulance kuchelewa kurudi uwanjani. Uongozi wa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Timu ya Ashantigold SC imepigwa faini na kushuka hadi Ligi Daraja la Pili baada ya kupatikana na hatia ya kupanga matokeo katika mechi ya Ligi Kuu ya Ghana 2020-21 dhidi ya Inter Allies FC. Klabu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumeanza tabia ya kumsifia kiongozi mkuu wa nchi kwa kila jambo hata yale ya kawaida kabisa. Kule kwa Kim, Korea kaskazini hali ndio hii kwamba ni sifa tuu na sifa isipotolewa mtu anaweza...
7 Reactions
37 Replies
3K Views
Binafsi naanza kusubiri Kuombwa Radhi zenu hizo kwani nilishaona Kitambo matatizo ya huyu Mchezaji, nikapaza sana Sauti hapa Jamiiforums kuwa aachwe mara moja na nikaishia Kutukanwa na Kudhihakiwa...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa? Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana? Huu Mpira walioucheza...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Nimekuwa naamini kama ni mchezaji nzuri kwenye team na anahitajika mno kwa local players, amekuwa akifanya kila jitihada na kudeliver kile mchezaji anapaswa kwa team yake. Ukata wa MAGOLI...
7 Reactions
11 Replies
861 Views
Yaliyotokea yanasikitisha sana, Walibya wamenyimwa penalty ila afadhali kidogo ukilinganisha na vituko vya Berkane , nasubiri kwa hamu manguli ya soka kwenye nchi hizo waanze kuzishukia teams zao...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ingelikua utajiri unaupata kwa kulialia, kulalamika na kutaka huruma basi Afrika, hususani hapa Bongo/Afrika ingeongoza kwa utajiri kuliko taifa/bara lolote duniani. Point yangu ni hiii👇🏽 Kwa...
2 Reactions
7 Replies
811 Views
Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC, leo Jumapili Mei 15, 2022, Yanga watakuwa ugenini kwenye Uwanja wa Jamhuri kucheza dhidi ya Dodoma Jiji FC Mkoani Dodoma. Ikumbukwe kuwa Yanga haijapata bao hata moja...
3 Reactions
247 Replies
13K Views
Mashabiki wa dodoma jiji tujuane mapema [emoji5][emoji5]
1 Reactions
7 Replies
654 Views
Mwanariadha Emanuel Giniki Gisamoda ashika nafasi ya kwanza katika Mbio za Generali Geneve Marathon ( 2:10:39) huko Geneva Switzerland Jumapili 15 Mei 2022 katika kilomita 42, ambapo amewashinda...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Mechi za mwisho za epl ,man City yupo na Aston vila ya Steven Gerrad. Kama tujuavyo Gerrad ni legend wa Liverpool mwenye kiapo Cha damu hivyo atataka kiisaidia timu yake japo hata kwa kupata droo...
3 Reactions
3 Replies
705 Views
Kama nilivyoeleza Jana nimepata zari la kulipia takribani dollars 360 kupata tickets A67 ya kuingilia kuchek UEFA Final Asante kwake Mr, Richardson's betting centre wa mtaani wangu Odessa kwa...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Habari za muda huu Leo nimeona kikosi Cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Dodoma jiji nikaona kitu kimoja kuwa hawa utopolo wamekatatamaa na hawajui nn hatima Yao na labda Kuna ugomvi ndani Yao. Leo...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Katika miaka yote ambayo Yanga huwa wanabeba ubingwa wa nchi basi huwaga kuna neema kubwa sana ya kimaisha miongoni mwa watanzania. Hata siku Yanga wakicheza na Simba...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Mheshimiwa Mbunge tunajua wewe ni mfia Yanga. Iache Yanga ipambane yenyewe badala ya wewe na uongozi wa Yanga kulazimisha mechi ichezwe nje ya uwanja. Unahangaika sana kutafuta connection ili...
13 Reactions
53 Replies
4K Views
Mifano ya Yanga kusaidiwa ushindi na marefu ni mingi,haiesabiki. Dodoma Jiji wasiopohujumiwa na uongozi wanaweza kabisa kuifunga timu mbovu ya Yanga. Lakini najiuliza refa atakubali?!
5 Reactions
9 Replies
864 Views
Kazi na dawa, mabingwa watarajiwa wa kombe la klabu bingwa afrika mwaka huu ambalo litawapa tiketi ya kwenda kuwakilisha bara hili la giza kwenye FIFA club world cup , Yanga sc walikula bata la...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Club ya Simba ya Dar es Salaam imefanikiwa kunasa saini ya mchezaji James Chamanga wa Timu ya Taifa ya Zambia,Chipolopolo, anaechezea Red Arrows ya Zambia ambao ni mabingwa wa Zambia msimu huu...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom