Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mlinzi wa Manchester City, Benjamin Mendy (27) ameshitakiwa kwa makosa manne ya ubakaji na lingine la unyanyasaji wa kijinsia, kwa mujibu wa Polisi wa Cheshire. Makosa hayo yanawahusu...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy (27) sasa anashtakiwa kwa makosa nane ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na moja la kujaribu kubaka baada ya mwathiriwa mpya kujitokeza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Asalaam Tofauti ya kuondoka Morrison Simba na wachezaji wote wanaotoka hivi vilabu vikubwa huwa kuna mvutano sana. Leo BM3 anaondoka Simba kila mchezaji anafurahi hadi wanamtakia heri imefikia...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwa ktk propaganda badala ya kufanya uwekezaji wa kweli? Haya sasa wameanza kufanya propaganda za kitoto ili kuwaaminisha mashabiki wao[emoji849][emoji849]...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Taja majina ya Wachezaji Wetu Wa Zamani wote kwenye Hii Picha. Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi karibuni Rais SSH alipokea kombe la mpira la dunia, swali la kujiuliza je, kuna mazingira wezeshi ya kukuza na kuendeleza vipaji nchini? Kila kona ya nchi, mijini hadi vijijini, wananchi...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake. Simba imekuwa...
3 Reactions
41 Replies
5K Views
Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji. “Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
Nina Taarifa za kutosha tu na za uhakika kuwa Mmoja wenu hapa (kwa niliowataja) kupitia Mdogo wako anatumika kwa Kushirokiana nawe ili Kuihujumu vibaya Simba SC kwa Ahadi ya Kusaidiwa na Kiongozi...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia. Pablo angekuwa kocha mzuri sana...
11 Reactions
56 Replies
5K Views
Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima. Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Wydad Casablanca wamechukua ndoo ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumpiga Alahly 2:0. Kama Msuva angevuta subira kidogo tu leo ingekuwa storry ingine kabisa. Angekuwa Mtanzania wa pili baada ya...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa heshima na taadhima, naienzi hii timu ya kijiweni Mtaa wa Congo ambayo ilishiriki ligi kuu Tanzania Bara na kuwa tishio kwa kupiga mpira na buti. Rosta Ndunguru na wenzako, tunawakumbukeni...
4 Reactions
34 Replies
13K Views
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa...
3 Reactions
2 Replies
848 Views
Ahlan Wasahlan wana JF Ni mtanange wa kukata na shoka baina ya Yanga Vs Simba katika nusu fainali ya kwanza ya kombe la shirikisho la Azam ndani ya dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza. Ni mchezo...
11 Reactions
715 Replies
48K Views
Kila siku watani wa jadi wanapokutana wasiwasi wangu mkubwa huwa ni Yanga kulilipa hilo deni na kusema kweli mechi ya leo hapo Kirumba nilikuwa sina raha kwani kikosi cha mnyama kilikuwa dhaifu...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Mabao ya dakika ya 15 na 48 yakifungwa na Zouhair El Moutaraji yameipa Wydad AC ya Morocco ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wababe wa Misri, Al Ahly. Al...
8 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi kwa mpira mbovu ilionao Simba kwasasa, Mashabiki kuugua magonjwa ya moyo na wengine hadi kulazwa kwa magoli ya kideoni ya wananchi, mashabiki wa Simba kupiga makonde wananchi wanapowatania...
1 Reactions
12 Replies
809 Views
Unapokuwa mwamba wa soka nchini kwa miaka minne mfululizo, na unapojenga sifa na heshima Afrika kwa miaka mitano, na kuwa timu pekee ya Tanzania inayojulikana huko duniani, unapokuja mwaka mmoja...
14 Reactions
25 Replies
2K Views
Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake...
3 Reactions
61 Replies
6K Views
Back
Top Bottom