Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

MARCUS RASHFORD, KIPAJI KINGINE KINACHOELEKEA KUFUATA NYAYO ZA ADNAN JANUZAJ . Kalamu ya Nasri Kulemba Ni usiku wa maajabu ,ni siku nyingine ya ulimwengu kushanga !!! ilikua ni siku ya...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
HIVI NDIVYO PAUL WA MATUMAIN ALIVYOONDOKA OLD TRAFORD . kalamu ya Nasri Kulemba “NImerudi nyumbani “ni maneno aliyoyazungumza kwenye kipande kidogo cha video ,huku akiwa amevalia jezi zake...
3 Reactions
4 Replies
764 Views
Mo Dewji ameposti katika page yake kuwa anajiandaa kusafisha wale wote wanaonekana hawaendani na mipango yake na watamuangusha, ameona akiendelea kupanda chombo kimoja na watu wanaotaka kuzamisha...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu...
2 Reactions
55 Replies
4K Views
Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
CEO wa Simba Bibi Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha mshauri wa mabadiliko ndani ya klabu ya Yanga. Katika kutilia mkazo hilo akasema hawezi kubali kufananishwa na Senzo...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, Gabriel Gerald Geay na Emanuel Giniki Gisamoda wanatarajia kuhudhuria kwenye kikao cha Uwasilishwaji wa makadirio ya Bajeti ya mapato na...
0 Reactions
5 Replies
727 Views
RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
23 May 2022 Yaoundè Cameroon Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022 Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ipo kwenye Uwanja wa Stade de L'amitie General Cotonou Nchini Benin ikipambana na Niger kwenye mchezo wa kufuzu Afcon 2023 Hadi kufikia kumalizika kwa...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zenu watanzania wenzangu, jioni hii kuna mechi ya kusaka ticket ya kushiriki AFCON 2023 kati ya Team yetu ya Taifa( Taifa Stars) na team ya Taifa la Niger, mpaka muda huu kila team imepata...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwina Kaduguda maaarufu kama Simba wa Yuda ambaye amekuwa akijinasibu kuwa eti yeye ni Simba lia lia na yuko tayari kutolewa kafara endapo itatakiwa Simba awe bingwa wa afrika sasa amekalia kuti...
11 Reactions
26 Replies
3K Views
SALAAM WAKUU. Jana kulishuhudiwa mchezo wa hatima ya UEFA CL kati ya REAL MADRID dhidi yaLIVERPOOL ambapo vijana wa LOS BLANCOS walinyakua taji baada ya kuifunga LIVERPOOL bao 1 bao lililofungwa...
13 Reactions
176 Replies
7K Views
Zimekuwepo taarifa kutoka kwa mashabiki na wanachama wa club ya Yanga wakishawishi na kutaka sana ndugu Hers agombee urais wa Yanga. Nafikiria hivi hawaoni mgongano mkubwa wa kimaslahi iwapo...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Nawauliza WanaSimba Wenzangu, kwanini ni Matola pekee anayebaki pale wanapoondolewa Makocha wenzake kwa sababu ya kiwango duni cha timu, Kwani yeye si sehemu ya benchi la Ufundi au Matola ni...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Unazi wa kupindukia Kwa real Madrid na Manchester united ulifanya nishindwe kutazama mechi nyingi za fc Barcelona Huwa najilaumu Kwa kujikosesha nafasi ya kuangalia soka safi na linalovutia hasa...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Mara baada ya mechi ya jana kwenye UEFA Cup of Champions (Finalissima) wachezaji wa Argentina walionekana kumbeba Messi na kumrusha juu katikati yao. Kwa kawaida hili huwa anafanyiwa kocha wa...
3 Reactions
49 Replies
4K Views
Back
Top Bottom