KUNA MTU MCHAFU KULIKO KASIM DEWJ SIMBA?
KWA KUWA UMETUCHOKOZA WACHA TUSEME.
Kasim Dewj unapotembe kwenye media usisahau kusema na ubadhirifu wako kuiibia klabu ya Simba. Achana na dola feki...
Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Limewatangaza Wanariadha 15 wa mbio Ndefu watakaoingia Kambini (West Kilimanjaro) Kwa kujiandaa na Mashindano ya Jumuiya ya Madola yanayotarajiwa Kufanyika...
Huu ni udhalilishaji
Kwa kweli kitendo cha Manara kumtupia madongo huyu binti ilikuwa ni ukatili, yani Barbara alikuwa anaombea tu muda uende haraka Manara amalize maana si kwa makombora ya...
The tactician decided to resign after suffering a fifth consecutive loss in the top-tier last weekend
American-born Egyptian coach Melis Medo has surprised many after quitting his job at Coastal...
Hapa Yanga Hamtoki Wala Kutoboa, Kocha Pablo Atoa Neno
[https://lh3]
KWA ‘mziki’ huu hamtoki, ndio tambo za mashabiki kwenye mitandao ya kijamii pamoja na vijiwe mbalimbali vya soka nchini kila...
Manara: Ninazo taarifa za uhakika kabisa zinadai kuwa zinadine Zidane asikitishwa na kitendo cha Simba kumpa barua ya mchongo kocha Pablo kilichofanywa na uongozi wa makolo hususani kumpa barua...
BARBARA AMKATAA SENZO "sio Type Yangu"
Kuhusu kufananishwa na yule bwana wa upande wa pili nisingependa kujibu kwa sababu haina tija, Mimi sisumbuliwi na propaganda za watu kabisa.
Nimesimama...
Wakisema wajuzi wa mambo, wakati ni shahidi mzuri sana, Sasa nimethibitisha.
Ninani aliyekuja na hili wazo la NANI ZAIDI kati ya Simba na Yanga?
Hivi watani hawa wa Soka wanao ushindani nje ya...
Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu...
Wanajukwaa kuna ndugu yangu huku kijijini ni shabiki mkubwa wa club ya Simba sports club toka miaka ya 1990's kwa sasa anajihusisha na kukochi team ya kijiji na kaifikisha mbali sana
Sasa baada...
Picha: Kikosi cha Wachezaji wa Matiyasi FC
Klabu moja yenye maskani yake Limpopo katika kitengo cha chini cha mfumo wa soka nchini Afrika Kusini imefungiwa maisha baada ya kufunga mabao 59 katika...
Nalifahamu sana soka la Tanzania, nazifahamu sana club za Yanga na simba.
Toka nimeanza kuishabikia Yanga ni zaidi ya miaka 40sasa.
Timu zetu hizi mbili Mara nyingi zinakosea kwa kuwaacha...
Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba.
.
Hakika alikuwa moto sana na...
Wanabodi.
Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why?
Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya...
Ukizumgumzia neno transformation ya team ya mpira iko vitu vingi sana including internal factors for instance data base ya team na data base almost inakuwa pushed on na fans wa team
.
Nawapongeza...
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.
Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za...
VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo.
Simba imepoteza mataji yake yote mawili la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.