Kama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi.
Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki...
Ivi huu mda mbona mchache Sana tarehe 30 si mbali vilabu vyetu vitaweza kwenda na muda kweli hususani yanga isije tokea kama mwaka jana Simba nazani tupo makini na Mambo ya caf sababu tushazoe tff...
Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika...
Ni aibu kwa nchi ya tanzania kutokuwa na uwanja wa michezo ya ndani wenye hadhi ya kimataifa. Kuwa na kiwanja hata kimoja tu inatosha lakini ni standard, ule uwanja wa mabati pale taifa indoor...
Tunahitaji kucheza na kujituma ili kuhakikisha tunapata matokeo.
kuna mambo makuu mawili ili kufikia lengo .
kwanza ni lizima wachezaji watambue umuhimu wa mchezo . hili ni jambo muhimu sana …...
Mkiambiwa kwamba Yanga sc ndiyo mabingwa watarajiwa wa Afrika na klabu bingwa ya dunia msibishe, leo CAF kwenye page yao ya twitter wamepost kwa furaha clip ya team hiyo huko mwanza na vi emoji...
Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali...
Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202
Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza...
[emoji95]SIMBA SC NI VIGUMU KUNDELEA KUISHI KATIKA HISIA ,KUTOKANA NA KILE MLICHOOKIISHI JANA .
Kalamu ya Nasri Kulemba..[emoji3578]
Kuna shairi moja katika nyimbo ya Rado wa usiulize ,;ameadika...
Nakuhakikishia Haji Manara, kwa vile umeitukana sana Simba na kuiona haikukusaidia lolote katika maisha yako, basi subiri gemu ya Burundi na vs Cameroon ambayo umepewa ubalozi wa kuhamasisha ili...
Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League.
Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17...
Bm 3 ana deals 2 moja kwenda sudan au saudi arabia na mshahara ni mkubwa sana ,tatizo ni kwamba kule starehe hakuna sijui kama ataweza.
Kingine kikubwa ni kipa wa Dodoma jiji aitwaye Mohamed...
Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa...
Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania.
Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa...
Kiukwel mimi ni shabiki wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake
Hii timu kwa Sasa inakoelekea inarudi shimoni...
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu...
Wanaspoti wenzangu
Siku na wakati ndio umewadia. wengine mmeshakata tiketi kwenda uwanja wa Taifa na wengine kwetu ni JF na kila kitu iko humu. Tuanze kupeana updates zote za mpambano huu kuanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.