Vuguvugu na patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Mei 22, 2022 ambapo Wajimbaji wa dhahabu Geita Gold FC wanakiwasha dhidi ya Mnyama Mkali Mwituni Simba SC kwenye Uwanja wa CCM...
Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao.
Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa...
๐๐ฑ๐ฟ๐ถ๐๐๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ฒ ni mchezaji wa klabu ya mpira wa miguu ya Paris Saint Germain (PSG) aliyekataa kuvaa jezi ya timu yake ambayo kwa upande wa namba ilikuwa imeandikwa rangi zenye kuashiria mahusiano...
Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting...
Liverpool gave City a toughest challenge till the end. Premier league was incredible as always. Congratulations to City though i wished Arsenal took it.
Iโm excited to see how Tottenham Hotspur...
Simba inaelekea kushika nafasi ya 2 msimu huu lkn kiukweli quality ya wachezaji wake iko chini sana, iko chini mno, mechi wanazopoteza huko mikoani kama dhidi ya kagera, mbeya city, biashara mara...
Makata kudai ambulance kuwepo uwanjani ni suala la kikanuni na Ambulance haikuwepo uwanjani bila kujali kuwa ilikwenda wapi kufanya nini. Ambulance ni gari maalumu lenye miundombinu inayoweza...
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA...
Kumekuwa na dhana potofu kuwa Azam na Simba ni maswahiba na kwamba Wanapocheza ushindani hamna kuliko Azam inapocheza na Yanga.Lakn ukifatilia ukweli sio huo, Yanga na Azam ndio zimekuwa kama Pete...
Manchester City imefanikiwa kutetea taji la Premier League msimu wa 2021/2022 baada ya kushinda mchezo wa mwisho wa ligi hiyo kwa mabao 3-2 dhidi ya Aston Villa, leo Mei 22, 2022.
Man City...
Nikiwa maeneo fulani hapa mjn songea, nimekutana na wachezaji wa mbeya kwanza na wamepanga kudefense mwanzo mwsho game zd ya Yanga kama walivyofanya tz prison, naamn sare inawahusu.
Naanza kwa masikitiko ya kinachoendelea katika timu hizi nikiona dalili ya kufa kwa hizi timu kutokana na kupoteza wachezaji wengi sana pasi na kufanya usajili mpaka sasa
1. Chelsea
Timu hii...
Kipa wa Simba, Aishi Manula amepata majeraha ya kukatwa na kioo kwenye mkono akiwa katika vyumba vya kubadilishia nguo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, muda mfupi kabla ya kuanza kwa mchezo wa timu...
Kitendo cha Manchester City kutolewa kwenye mashindano ya UCL kimewavunja moyo Sana kiasi kwamba huenda wakashindwa hata kuwa mabingwa wa EPL.
Inaumiza Sana ,ikiwa kila Takwimu...
Leo jumapili 22/05/2022, dirisha la EPL litakuwa linafungwa huku bingwa akiwa bado hajapatikana. Man City na Liverpool watakuwa wanawabia ubingwa. Huku kukiwa na tofauti ya point moja tu.
Man...
Wakati Yanga akihitaji point nne tu kutangaza ubingwa huku ikibaki michezo mitano kukamilisha ligi kwa timu zote mbili, ninependa kujua timu zilizobaki kucheza na Yanga na zile zitazocheza na Simba.
Wameshinda mechi tatu tu (dhidi ya Dodoma Jiji, Coastal na ile dhidi ya KMC pale Tabora).
Wapinzani wao wakubwa (Yanga) wameshashinda mechi tisa nje ya Uwanja wa Mkapa msimu huu.
Nini...
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekutana leo Mei 20, 2022 kusikiliza mashauri yaliyowasilishwa yakiwahusu Ofisa wa Yanga, Haji Manara na Mtendaji Mkuu wa Simba, Barbara...
Ajabu sana aisee makanjanja na utopwinyo kumzodoa Clatous chama kwamba alikosea kuondoka Berkane kisa wameshinda confederation cup huku wakisahau jamaa jina lake lipo miongoni mwa watakaopokea...
Wakuu Habari ya Jumapili.
.
Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi.
.
Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa...