Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Inna Lilah, Wa Inna Ilaihir Rajiuun, Aliyekua Katibu Mkuu wa Yanga Bwana Abdul Sauko amefariki leo Alfajir katika Hospital ya Mloganzila. Taarifa zaidi zitafuata ===== Abdul Sauko (kushoto)...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama enonga ndo anaimbwa leo basi watani mlizidiwa
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nilishasema katika moja ya Mada ( Threads ) zangu hapa JamiiForums kuwa hakuna Kocha hapa na kutoa sababu zangu kadhaa za Kiufundi na Kiuchambuzi nasikitika Sikueleweka na Kutusiwa na Wadau...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Kuelekea msimu wa 2022/2023 Simba wanatakiwa watafute kocha wa kueleweka ama wasajili wachezaji wa kueleweka ama vyote kwa pamoja. Over.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza kabsa kila mtu ajue KIFO ni KIFO tu haijalishi umekufaje.Mimi sinywi pombe,siyo malaya,kiufupi raha zangu zote nazipata kwa kucheza na kutazama Soka. Huwa napata raha ya ajabu sana timu...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Kwa matokeo yoyote yale ila ni marufuku mtetemaji kutetema mbele ya simba!!
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Ndivyo ilivyo kwa maana asilimia 90 ya mechi ngumu kamaliza, Namungo, Azam, Simba, kmc,geita gold, hizo zote amepenya, sasa amebakiza asilimia 10 tu kwa biashara, mbeya city na dodoma jiji...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Ronaldo original Amesema Kwamba alipata taarifa kutoka Kwa baadhi ya wahudumu wa sehem walikoweka kambi mwaka 1998 kwamba walimwekea sumu kwenye chakula na malazi ili asicheze vema , lakin...
4 Reactions
24 Replies
6K Views
Uyu bwana mdogo ni hazina ya taifa hapo badae akiendelea kujitunza vizuri, Ujio wa beki wa kimataifa Djuma shaban wengi tulijua tunakwenda kumpoteza uyu bwana mdogo lakini alituonyesha kuwa...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Mechi ya leo ilikuwa ni muhimu kwa pande zote mbili, Yanga walikuwa wanataka kujiongezea gap lubwa dhidi ya mpinzani wake. Simba wao waliingia kwa lengo la kutengua kauli ya Yanga kuwa unbeaten...
1 Reactions
6 Replies
610 Views
Haya mambo bado hayakomi? Au hii ina maana gani
0 Reactions
4 Replies
663 Views
Kulingana na ubora walio uonyesha klabu ya simba katika mechi hizi 3 za hatua ya makundi ya Caf confederation cup ni wazi vigogo hawa wa soka la afrika huenda wakaenda kutwaa taji hilo kubwa...
6 Reactions
80 Replies
6K Views
Kuelekea kwenye mchezo wa April 30, 2022 kati ya Watani wa Jadi, Yanga SC na Simba SC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania, ambao utapigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa Jiji Dar es salaam, hatimaye...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Hello soka lovers JF Defence: Mafulbeki kwenye crosses &covering speed, na macho kwenye pasi mpenyezo kwa mabeki wa kati, na aerial duels kwenye through balls Midfield: Macho, kukaa kwenye...
2 Reactions
5 Replies
873 Views
MECHI YA YANGA NA SIMBA TUMEICHUNGULIA TAYARI... KWA NAMNA YOYOTE ILE LAZIMA SIMBA AFUNGWE... ATAKE ASITAKE...INSHAA ALLAAH... Nabi ataanza na kikosi hiki Inshaa Allaah... 1. Diarra 2. Djuma...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa miaka ya hivi karibuni Yanga wamekuwa wakiingia kwenye hizi mechi za watani wakiwa underdog. Hiyo inasemwa kuwa ilichanjia wao kupambana sana na hata kupata matokeo mazuri (kutofungwa) kwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
FIRST ELEVEN tunayoitaka icheze Kesho 1. Msheri 2. Shomary 3. Yassin 4. Job 5. Shaibu 6. Mauya 7. Kaseke 8. Mapinduzi 9. Ushindi 10. Makambo 11. Ambundo Tafadhali sana Uongozi wa Yanga SC Sisi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kabla ya mchezo baina ya Simba na Orlando Pirates Simba walifanya kituko cha kuwasha moto na kuweka duara kwa kuzunguka ule moto. Je, hiki kituko hakitawaharibia?.
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mdogo wangu hapa UK mshabiki sana wa mchezo huu. Kaniuliza juuzi inakuaje bondia wengi kutoka Tanzania hupata mafanyikio siku hizi ngazi ya kimataifa, wakiwaachia kwenye mataa kabisa wenzao...
1 Reactions
5 Replies
542 Views
Pamoja na kubezwa mara kwa mara, kupondwa na wakati mwingine baadhi ya watu kutoa wito wa vilabu hivi vikongwe vitoweshwe kwenye ulimwengu wa soka kwa kudaiwa kwamba vinadidimiza mchezo wa soka...
0 Reactions
10 Replies
952 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…