Kocha wa Manchester United, Ralf Rangnick ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Austria majukumu ambayo atayaanza baada ya kumalizika kwa msimu huu.
Pamoja na hivyo atakuwa akiendelea na...
" Kizazi changu ilikuwa ngumu kuwa bora Duniani" - R9
Gwiji wa kandanda Ronaldo Nazario De Lima ametoa mtazamo wake kuhusu Cristiano Ronaldo na Lionel Messi , kwa kudai kwamba ilikuwa ngumu sana...
Beki namba Tatu ambaye inasemekana haijapata mbadala haswa, Roberto Carlos,
Amesema kuna mechi Kati ya Madrid na Barcelona alitakiwa amkabe Ronaldinho Gaucho lakin akakumbuka kwamba Gattuso...
Uzi maalumu wa kulinganisha mafanikio
Ya wakongwe hawa
1.Pele
2.Maradona
3.Ronaldinho
4. Messi
Wingi wa makombe
Pele 36
Messi 25
Gaucho 18
Màradona 12
Kwa upande wa makombe makubwa yenye hadhi...
Pumbafu
1. July 2020 tumewapiga 4-1 shirikisho la Azam (hawasemi)
2. 2021 tumewapiga shirikisho la azam kule kigoma (hamsemi)
Utopolo hamna akili.
Hivi match za league na shirikisho zinachezwa...
・・・
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa @mmchengerwa ameipongeza timu ya @simbasctanzania kwa ushindi wa goli 1-0 dhidi timu ya Orlando Pirates Aprili 17, 2022 kwenye...
Kuna Timu moja ina Washambuliaji Watatu wanaojua Kulazimisha Penati na kwa aina ya Mabeki Watatu wabovu wa Timu nyingine huenda Kesho Penati zikatokea nyingi.
Bahati nzuri MINOCYCLINE sina Timu.
"Kitendo cha Kaka yangu Kocha Jamhuri Kihwelo kutukejeli ( kututania ) Wachezaji wa Yanga SC niliyoichezea kuwa tuna Miili Mikubwa kama Maghorofa ya Bima Tabata lakini hatuna Akili kilitupandisha...
Mtakaonichukia ( hasa Watu wa Simba SC ) mtanisamehe ila nisiwafiche Watu ( Kamati ya Ufundi na Utamaduni ) wanahangaika mno na mpaka Saa 7 Mchana leo bado Mtaalam anasema Yanga SC 3 na Simba SC 0...
Wale Makolo mnaolalamika kuwa goal mlilofungwa kwa kichwa na Kwame Peprah wa Orlando kuwa ni offside, lile goal limechaguliwa kuwa goal bora la wiki. Sasa sijui mtaongea nini tena kujitetea.
Na Thadei Ole Mushi.
Simba wasiamini kuwa huyu Kocha anaweza kuwapa kila kitu wanachokifikiria. Nimepitia data za alikofundisha kote inawezekana akafukuzwa Simba kabla ya Dirisha Dogo la Usajili...
Imeelezwa kuwa kiungo wa kazi aliyewahi kucheza ndani ya Yanga, Mukoko Tonombe yupo kwenye rada za mabosi Azam FC ili kuweza kuinasa saini yake.
Nyota huyo ni miongoni mwa wachezaji ambao...
Na Waganga wenye Akili huwa hawachezi na bahati ya Siku bali hucheza sana na bahati ya tarehe na bahati nzuri tarehe 30 huwa inaipendelea Timu isiyo Mwenyeji Kuiumiza Timu inayoiamini na kuipenda...
Raha ya mpenzi au shabiki wa Simba, kwa asilimia kubwa, ni pale Simba inapoifunga Yanga au Yanga kufungwa na timu nyingine.
Na kwa wa Yanga ni kwa Yanga kuifunga Simba au Simba kufungwa na timu...
JOTO la mpambano wa Ligi Kuu Bara baina ya Yanga na Simba utakaopigwa Jumamosi Aprili 30, 2022 saa 11 jioni wiki hii katika Uwanja wa Mkapa linazidi kupanda.
Hii sio tu kwa mabosi wa timu hizo...
Wenzenu walikuwa Wanaoka ( Wanakoka ) Moto Bondeni kwa Madiba mkazusha walikuwa Wanaroga sasa mbona nyie tokea jana kama kawaida yenu mnahaha Mahospitalini Dar es Salaam nzima kufanya mpango wa...
Bao la kusawazisha la Cristiano Ronaldo limeipa Manchester United pointi moja katika mchezo wa Premier League dhidi ya Chelsea kwenye Uwanja wa Old Trafford, usiku wa Aprili 28, 2022.
Chelsea...
Kama tukiamua kuitaja Klabu Katika Tanzania inayoongiza kwa Ushirikina basi bila shaka ni Simba SC.
Tamaduni hii wamekuwa nayo tangu Kitambo. Na wamekuwa wakitumia Ushirikina Katika Maeneo...