Naendelea kusema kuwa ni makosa kujiaminisha kuwa Yanga anakikosi bora, pamoja na kuongoza ligi na uwezekano mkubwa wa kuchukua kombe bado hatuwezi kusema Yanga ni bora. Yanga bado haijawa TESTED...
Kwa Sasa Yanga Kumekuwa na Press Conference nyingi sana.
.
Hivi Msemaji wa Yanga Anapitisha PRess conference kuzungumza haya?.
.
Anachokifanya huyo bwn ni kuwatisha waandishi wanaogopa hata...
Wakuu,
Nimemsikia Haji Manara na Bumbuli leo kwa nyakati tofauti wakiwamwigia sifa wachezaji wetu kuwa ni bora sana na mziki wao si wa kitoto. Nimesoma facial expressions za hawa jamaa zetu ni...
Yaani bado masaa 48 lakini mpaka sasa mwamuzi bado hajatangazwa!
TFF amkeni acheni kuongoza soka kizamani.
Tunaomba alhamisi mumtaje mwamuzi ili tumjue
Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni...
NABI: TUTAMKOSA MCHEZAJI MMOJA TU
.
“Tuna timu kamili nafikiri hii itakuwa sapraizi ya kwanza sijajua tumtumie mchezaji gani kuelekea mechi hii. Kila mtu yuko tayari na wachezaji wanataka kucheza...
Kisaikolojia Simba huu mchezo walishaupoteza almost wiki sasa maana baada tu kuisha mchezo wa kwanza hapa kwa mkapa...washabiki wa simba asilimia 90.
Pamoja na uongozi wao wakakata tamaa ya...
Kwa muda alioichezea timu ya Simba na mapitio aliyoyapitia na kuendelea kupata namba katika kikosi cha timu ya Simba mpaka leo; ni wazi kabisa baada ya kupoteza mchezo jumapili iliyopita, Mkude ni...
Haji Manara amesema soka ni mchezo muhimu sana, inaweza simamisha vita, kuleta vita na hata kuwaleta watu pamoja au kubaguana. Amesema kiongozi mmoja mkubwa serikalini alimpigia simu na kumwambia...
Kwanza kabisa napenda kusema kuwa sina taaluma yoyote ya Uamuzi(referee) katika soka, bali mimi ni mfuatiliaji wa soka...
napenda wataamu mnisaidie hapa
1: goli walilofungwa Simba, kwa mtazamo...
Ligi ya mabingwa ulaya inaendelea usiku hatimaye imefikia hatua nusu fainali , usiku huu kuna mtanange wa kufa mtu ukikutanisha miamba kati ya real manchester city vs real...
1. Joash Onyango
2. Henock Inonga
3. Clatous Chama
4. Pape Ousmane Sakho
5. Bernard Morrison
6. Peter Banda
Ambao sijawataja hapa waachwe upesi sana Msimu wa Ligi Kuu ya NBC ukimalizika tafadhali...
Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo.
Unafanyaje...
Michezo miwili itapigwa leo majira ya saa tano usiku kati ya Borussia Monchengladbach dhidi ya Manchester city huku Atalanta akiialika Real Madrid .
Kiwango bora walichonacho Manchester City...
Kuna clubs matajiri katika bara la Africa zikiweno Al Ahly, Zamelek na Esperance lakini zinaendeshwa kwa mtindo wa wanachama. Kuna timu zinazoaendeshwa kwa umiliki wa mtu kununua au kuweka mzigo...
Bondia Tyson Fury amefanikiwa kutetea Mkanda wa WBC The Ring baada ya kumpiga Dillian Whyte kwa TKO katika raundi ya sita ya pambano lao la usito wa juu usiku wa kuamkia leo Aprili 24, 2022...