Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

"Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kuhusu kupata Usumbufu Uwanja wa Ndege hayo ni ya UHAMIAJI na siyo Simba SC, Kocha wa Orlando Pirates FC amelalamika kucheleweshwa Barabarani hayo ni...
36 Reactions
74 Replies
5K Views
Mchambuzi wa soka Geoff Lea, amesema kwamba klabu ya Simba ni maarufu kwa kutumia mbinu chafu wakiwa nyumbani ili kujipatia ushindi. Mchambuzi huyo ametaka klabu iache kutumia mbinu hizo chafu...
17 Reactions
78 Replies
6K Views
Wadau Nawasalimu Nimeona nitoe ushauri kwa kuzingatia maslahi mapana ya Klabu yangu ya Simba Didier Gomes arejeshwe kundini haraka Tunamuhitaji sana kuliko wakati wowote ule Hakukuwa na sababu...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Simba na mashabiki wa Simba washatoka kwenye kupiga kelele na Yanga na Simba kuona wapinzani wao kama Al ahaly, Kaizer, pirates etc. Haji manara analazimisha kuwachokaza simba, eti anasema...
12 Reactions
71 Replies
4K Views
Kwanza naanza na kusema nimeumia mambo aliyofanya huyu mvuta bangi wa Hispania Ramos, Baada ya mechi usiku tukatoka nje ya pitch , nje kulikuwa hakufai, watu wanaosadikika kuwa mashabiki wa...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Mi huwa sijui hawa makipa huwa wanacheza lini.Halafu unakubalije kuwa kipa wa akiba katika timu.Yaani usubiri hadi mwenzako aumie ndio na wewe ucheze.Hii ina maana umeshajiweka kuwa katika nafasi...
2 Reactions
3 Replies
541 Views
Wakuu huyu dada C.E.O wa Simba sports club ni fullbright ni mwanamke wa shoka mwenye kujiamini na uelewa mkubwa sana wa mambo. Ukifatilia huu mzozo uliopo sasa wa Simba kuvaa nembo za GSM utaona...
15 Reactions
41 Replies
4K Views
Wanawanga mchana alafu wanasema tuwaombee, Mi ni simba dam dam ila kwa hili mjirekebishe
3 Reactions
11 Replies
843 Views
1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6...
9 Reactions
81 Replies
6K Views
Kwanza pongezi kwa wachezaji kwa kupambana hadi kufikia hapo,lakini hii imekua robo fainali ya tatu tunatolewa katika michuano ya caf ndani ya misimu minne. Ni muhimu sasa kujua nini...
4 Reactions
19 Replies
986 Views
Ndiyo , ni ukweli usiopingika kwamba Yanga ndiyo timu pekee hapa Tanzania yenye mafanikio makubwa katika soka la Afrika kutokana na timu hiyo kubeba makombe mengi yanayoandaliwa na CAF hali...
5 Reactions
10 Replies
848 Views
Kuna watu wameshaa kujifanya wanayoa ushauri kwa Simba ili kufanya vzr next seasons baada ya leo kutolewa CAF. Mimi nadhani si wakati muafaka kwani wahusika wanaugulia maumivu muda huu. Mimi...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba. Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki...
8 Reactions
7 Replies
841 Views
Leo Jemedari Said Kazumari bila hata Aibu (Haya) na ukiongozwa na Unafiki wako wakati Ukweli unaujua ukizingatia kuwa hata Mpira Umeucheza na unaujua vyema tu unasema Refa wa Jana ameionea mno...
14 Reactions
19 Replies
2K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wachezaji wanaotoka league kuu Tanzania bara na kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi wakiishia kusugua benchi na kupoteza ramani. 1: Shaban Idd chilunda 2: Eliud...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wale wa wydad na Raja Casablanca tukutane hapa....tunauwa mtu...... Karibuni sana makamanda wangu Al ahly and Raja Casablanca saa 5:00 usiku Belouizdad and Wydad Casablanca saa 00:00 Kila la...
6 Reactions
64 Replies
4K Views
Japo usiku wa leo nimeota wekundu wa Msimbazi SSC ameifunga Orlando 2-1, ambapo goli la pili lilifungwa katika dakika 80; Hii ndoto ninaamini kabisa ni miongoni mwa ndoto za SHETANI. Hiki kitu...
7 Reactions
80 Replies
4K Views
Habari! Haya ni maoni yangu baada ya kufanya uchambuzi mfupi. Huyu jamaa Haji Manara huenda nyota ya mafanikio iko mikononi mwake au kuna siri muhimu juu ya mpira wa miguu Tanzania anazijua...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Poleni simba hizo ndio fitina, Mlitafuta wenyewe sasa watu wamewaonyesha
3 Reactions
65 Replies
6K Views
Je, 1. Refa ndiyo alikipanga Kikosi kile cha wasiwasi cha Simba SC Jana? 2. Refa ndiyo alimwambia Mshambuliaji wetu Mpuuzi Chris Mugalu acheze Faulo za Kipumbavu ambazo zilitugharimu Kiufundi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…