Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwanini Simba SC kila mara inapoingia michuano ya Africa, peak yake kubwa inakuwa ni ROBO FAINALI tu, why ? Baada ya hapo tunaishia kusema BAHATI haikuwa yetu, na Inshallah Inshallah nyingi. Je...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nafikiri Simba kuondoshwa kwenye michuano lilikuwa ni suala la muda tu kwa sisi tunaoujua mpira kiufundi tulijua mapema kwamba mwisho wa Simba ni hapo wasingeweza kutoboa kwa namna yoyote vile...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
ID yake nimeisahau ila nikiikumbuka nitaitaja hapa au wale wanaoijua wataitaja muda si mrefu kwani ni Maarufu mno. Nakumbuka alianza kwa kusema ( tena kwa Kujiamini kabisa ) kama ilivyo kawaida...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Mchambuzi mkongwe wa masuala ya mpira Shaffih Dauda amesema haya kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter “Hatuna timu yenye uwezo wa kubeba ubingwa wa Afrika, kwenye nyanja zote, huo ndio ukweli...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
Hapa ndipo utakapoona kuwa watu wa aina ya huyu Manara ni hatari sana katika ustawi wa soka nchini,wanaturudisha nyuma sana hawa.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Humu kuna hesabu za uongo na kweli watu wakipeana imani kuwa simba ina uhakika ya kuanzia raundi ya pili kwasababu anashika nafasi ya 12 hivyo ana uhakika wa kuchukua nafasi ya pyramid na Berkane...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
1. Kupewa kadi nyekundu kwa kocha Nasri Nabi kwa kulalamika mchezaji wake kukanyagwa na Kelvin Yondani mwamuzi sijui anajua kifaransa au kiarabu? Ndizo lugha anazo tumia Nabi alizotumia kulalamika...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Siipendi Simba na mambo yake yote na huo ndiyo ukweli wangu. Kwa sababu hiyo maombi na sala zangu nikuwaombea mabaya na Mungu aibariki Orlando iweze kupata ushindi na iwatowe Simba kwenye...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Na GENTAMYCINE najua ili 'Kutuzuga' zaidi na Wawahadae Majuha (Mazuzu) wengi huyu Mchezaji ataambiwa ama ajifanye Kaumia Mechi yetu ya Kwanza na Orlando Pirates FC tarehe 17 April, 2022 au acheze...
13 Reactions
40 Replies
5K Views
Tufahamu kwa undani offside rule. Mchezaji lazima azidi mwili sio mkono au bega.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika. Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani...
2 Reactions
46 Replies
3K Views
Ni nguvu ya mitishamba imetuokoa na hii ni wazi kuwa Tanzania tupo vizuri kwa mawitchdokta. Kupunguza goli nne mpaka moja.
1 Reactions
6 Replies
692 Views
Mashabiaki wa simba ni watu wasioeleweka,. Kishindwa kwenye ligi yetu,utawasikia akili zetu zipo kimataifa zaidi. Kuanzia kesho utawasikia hasira zetu tutazimalizia kwenye ligi ya NBC. NASAHA...
1 Reactions
0 Replies
342 Views
Kamati ya nidhamu ya TFF imewafungulia mabingwa wa soka wa Tanzania,Yanga kutoka katika adhabu iliyokuwa imepewa na TFF kufuatia Yanga kutopeleka timu uwanjani katika mchezo wa kombe la Kagame...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wakati mnashangilia points za mchongo mnazopewa bila jasho kumbukeni timu mnazozifanyia uchafu hamjacheza nazo kwao. Prison,Namungo,Coastal,mbeya kwanza,geita Malipo ni hapa hapa hatutaki...
1 Reactions
9 Replies
730 Views
Heshima mbele Wakuu!!! Duh yaani kama mshabiki mkubwa sana wa timu za nyumbani imenisikitisha sana pale ambapo timu zetu za Yanga (kupigwa 2-1 tena nyumbani bao moja kapa) na Simba (kupigwa 7-1)...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Takwimu za Asec mimosa ligi kuu mechi 7 win 7 point 21 na wanaongoza ligi Huku upande wa simba mambo yako hivi. Morrison Lwanga- injury Chama Mugalu kibu denis- injury Hawa ni wachezaji watakao...
6 Reactions
44 Replies
4K Views
Mohammed hussein atang'ara sana Pia atahusika kwenye bao lao kwanza la Simba. Lwanga atapewa kadi mbili za njano Kapombe au sakho mmoja atapata injury Kennedy juma atachomesha goli 1 Mugalu...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mshambulizi wa zamani wa Chelsea, Didier Drogba, aliangushwa katika raundi ya kwanza ya upigaji kura wa Urais wa Shirikisho la Soka la nchini Ivory Coast ( FIF) kwa kupata kura 21 huku mahasimu...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…