Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza...
8 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama wewe ni shabiki wa Mpira na unaangalia mpira wa timu za hapa nchini utatambua kwa nini Simba SSC haipati matokeo. Ukiacha kufungwa magoli ya Corner na Free Kicks ambazo wana wanashindwa...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Congo 1-1 Morocco FT Cameroon/Mchongo 0-1 Algeria FT Next matches tutachezea HOME HOME HOME Karibuni makamanda wangu
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu nimefatilia game za Senegal vs Misri na Nigeria vs Ghana nimeona viwanja vipo full mashabiki lakini huku kwetu Simba wameagizwa kuingiza 1/2 uwanja inamaana covid ya kwetu ni kali sana?
4 Reactions
7 Replies
701 Views
1- Mohammed El Shenawy hana deni World Cup Qualifiers kama ambavyo Gabasky hakuwa na deni AFCON2021 2- Ni matumaini ya Waswahili kwenda Qatar zaidi ya Mwarabu sababu ya Waswahili watatu katika...
2 Reactions
0 Replies
588 Views
Nina matumaini makubwa na hawa majirani zetu na ndugu zetu waliopo ndani ya bara la Afrika, Algeria, Morocco, Tunisia na Egypt, naimani nao watafika mbali na kutukndolea machungu. I wish all the...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Naaaam, sasa hii ndio maana halisi ya Udhamini Maana halisi ya usimamizi wa Soka letu Maana halisi ya kujali vipaji vya vijana wetu. Kuna wazee wengi nilishuhudia hasa nikiwa Zanzibar ambako...
1 Reactions
5 Replies
942 Views
Ama kwa hakika huu ni msiba mkubwa wa tatu kwa watoa bahasha za khaki na wapokeaji wa bahasha hizo , mana msiba wa kwanza ulikuwa goal la SAkho kuwa goala bora la week wakati makanjanja yakiwa...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu Habari ya Wakati. Hivi Kigezo gani kimetumika timu kubwa zote kucheza Mechi zao za Kombe la FA nyumbani? Na kama kigezo ni ukubwa wa timu je Coastal Union ni kubwa kuliko Kagera Sugar...
0 Reactions
4 Replies
744 Views
Ofisa habari wa Ruvu shooting Masau bwire amesema sio kwamba yeye ni mshabiki wa simba ila mpira sio vita ndio maana linapokuja suala la kimataifa anatanguliza uzalendo kwanza. pia akatolea mfano...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Kabangu ameendelea na dharau kwamba Mwakinyo ndiyo bondia bora kwa Tanzania. Hata baada ya jana kumpa kichapo bado ameendelea na msimamo wake uleule. Sasa tunatoa tamko kama kweli Mwakinyo kidume...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hakika Manara ni mmoja tu simba mmepoteza mtu hapa, toka Bugatti amejunga na vinara wa ligi kuu tz bara yanga. Amefanikiwa kuipaisha pakubwa clabu hiyo kwenye viwango vya caf, ikumbukwe kuwa...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Kila kukitokea tu 'Break' ya FIFA Calendar Kocha Nabi atataka Kuondoka kwenda Kwao au Ubelgiji na huwa hahitaji Yanga SC imlipie Tiketi ball kuna Mtu Mmoja upande wa Pili ndiyo humgharamia. Mara...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Mwandikishe mwanao kwenye mafunzo ya mchezo wa kuogelea kipindi cha likizo ya Pasaka Kuanzia tarehe 9.4.2022. Vyeti vinavyotolewa kwa washiriki wote. Mahali [emoji842]Upanga [emoji843]Tabata...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
Bondia wa Tanzania Twaha Kassim Lubaha anapambana na Alex Kabangu kutoka Congo DRC kushindania mkanda wa UBO Super Middle weight, African Title ambao hauna mwenyewe =================== Twaha...
4 Reactions
92 Replies
9K Views
Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini...
1 Reactions
2 Replies
593 Views
MASHINDANO YA KIPANGA CUP YAHITIMISHWA WILAYANI MAFIA ▫️Timu ya Big Time yaibuka kidedea ▫️Yatoka na zawadi ya Bajaji Mafia, PWANI Mashindano ya mpira wa miguu ya Kipanga Cup yamefikia tamati...
0 Reactions
0 Replies
572 Views
Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5. Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup Hata hivyo...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
Kutokana na kwamba Cristiano Ronaldo ni miongoni mwa wachezaji bora kabisa ulimwenguni. Basi zifuatazo ni siri za mafanikio yake kwenye game na sisi tunaweza kuziapply kwenye maisha yetu na fani...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jana usiku nilishuhudia pambano baina ya Twaha Kiduku na Bondia kutoka DRC Congo. Kwa kweli Twaha alipambana kiume na akaweza kumshinda kwa alama(points). Kwa Tanzania ya sasa hakuna bondia...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…