Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wana Yanga naomba mnifahamishe Maana juz nlimuona mzee Nabi alikuwa zam na alikuwa anahangaika nao Sana,mzee wa watu had huruma jaman Yanga mnateseka kwa kweli Vip Leo Nan Yuko zam ili mzee Nabi...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Salaam. Kwa wale wanaofuatalia AFCON kule Cameroon watakubaliana na mimi kuwa Cameroon wametuacha sana kwenye suala la viwanja vya kisasa. Viwanja vyao viko vizuri ni level za Ulaya. Je, sisi...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Tupo uwanjan mechi tuliambiwa tuwahi itaanza saamoja kamili lakn had mda huu Kuna sintofahamu Au Africa ya kati hawajalipwa Chao mapema Mtujuze mapema wengine tunakaa mbali Sana hapa mjini...
1 Reactions
66 Replies
4K Views
Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Wananchi Najua Mnajua Tutakachokifanya Kwenye Mechi Hizo Ni Rasmi Tutangaza Ubingwa Hapo Wale Wanaokaza Vichwa Na Kuleta Ubishi Wa Ukoo Na Matokeo Yao Ya Kimazoea Kila Msimu Wana Salamu Zao Kutoka...
2 Reactions
2 Replies
682 Views
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita. Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo...
11 Reactions
49 Replies
3K Views
SIMBA WASIPOBADILIKA ni ngumu sana kuvuka kwenda Robo Fainali. Lakini Pia hata wakivuka wanakazi ya kufanya inaonekana mechi za away hawawezi kuzuia hili ni janga kwao. Mimi niwashauri...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Niliwaamini akina Abdi Banda wa Mtibwa Sugar FC, Kelvin Yondan wa Geita Gold FC na huyu Bwege wa juzi Andrew Vicent wangenifanyia vyema hii Kazi yangu Maalum kumbe ndiyo Kwanza wakawa Wanawachekea...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mbuzi na simba hatuwezi kaa zizi moja baada ya kuona hili [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Hatimaye nimejitoa naombeni kujua kadi ya uanachama wanairudisha wapi.
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Kama tunataka maendeleo ya mpira nchi yetu basi tuzifute kwanza hiz timu mbili kwanza Maana koch asipochagua mchezaji kutoka timu hizi anakuwa katka wakat mgumu Sana hata kama hawana viwango...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
TFF wamekuja na utaratibu wa kushangaza kidogo Sisi tunaoshangilia na kuipatia hamasa timu yetu ya taifa tunatakiwa kulipa VIINGILIO ila wale ambao hawashangilii Wala kutoa hamasa ndio hawatakiwi...
1 Reactions
4 Replies
520 Views
Siku chache kabla ya pambano la ugenini dhidi ya Asec Mimosas ,, boss mkubwa wa Simba Try Again anasikika akitamba kwamba Simba itasajili Wachezaji wanne wa kigeni mwishoni mwa msimu. Kipigo dhidi...
7 Reactions
22 Replies
3K Views
Miaka kadhaa iliyopita katika ligi za ulaya,hususani Uingereza, timu hazikuwa na afisa habari bali alikuwapo muandishi wa habari kutoka kwenye chombo cha habari, aliyeandamana na timu sehemu...
1 Reactions
1 Replies
781 Views
Leo mitaa yote iwe imekee kimya baada ya Simba kuchapwa bao 3 na Asec. Kwa nini Wanasimba wanakuwa kama wamenyeshea mvua kila wanapokula kichapo? Wakishinda ndio inakuwa makelele kila kona hadi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wanazengo, Kuna kitu nimejaribu kukifanyia utafiti kuanzia kwenye level ya mimi binafsi,marafiki na jamii ya wapenda soka inayonizunguka na mwishoe nikapata jibu ambalo nimetamani kushare...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Points ( Alama ) Kumi ( 10 ) ambazo Simba SC imezidiwa na Yanga SC zitapunguzwa kwa Hesabu zangu hizi rahisi na ambazo nina uhakika nazo tema wa 100% kabisa.... Simba SC atamfunga Yanga SC...
12 Reactions
61 Replies
6K Views
Naona ile Barce ya kuanzia 2009 kama inarudi. Ile Barca ya moto iliyomfanya Fergie atetema. Naona leo Madrid anateseka mno. Utawala wao unaanza kurejea.
1 Reactions
11 Replies
929 Views
Hatukatai. Utani wa jadi ni sawa lakini wanasimba sasa mnavuka hadi mipaka ya ushabiki hiki mnachofanya ni vurugu kwenye soka. Haiwezekani kosa mtupongeze wana Yanga kwa zawadi ya mchezaji wetu...
3 Reactions
37 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…