Kumekuwepo na video inayosambazwa na watumiaji wa mitandao ya kijamii, ikidaiwa kuonyesha eneo ambalo aliyekuwa mfanyabiashara nchini Zimbabwe, Sir Chivayo, atazikwa. Video hiyo inaonyesha mazingira ya kijijini yenye nyumba na majengo mbalimbali.
Kumekuwepo na machapisho kadha wa kadha kumuhusu kunguni katika moja ya mjadala inayoendelea kwenye mitandao kupitia tovuti ya Mchinga blog imechapisha kuwa mdudu kunguni anaweza kuishi takriban miezi 18 bila kufa na akaendelea kuwa hai.
Katika chapisho ambalo lina nukuu ya jumbe zifuatazo “Kunguni ni mdudu wa ajabu sana.Mdudu huyu hupenda kuishi maeneo waishipo binaadamu kwa kuwa chakula chake kikubwa ni damu y a binaadamu. Wadudu hawa hupenda kuishi vitandani na kujificha katika vipenyo vidogovidogo vya kitanda,au sehemu zinazofanana na hizo.
Kinachostaajabisha sana kwa mdudu huyu ni kwamba, KUNGUNI anaweza kukaa hadi miezi 18 bila kula na akiwa hai.katika hali hii kunguni huwa bapa zaidi na kubadilika rangi kutoka nyekundu/kahawia...
Wakuu Salama? Katika pitapita zangu mtandao wa X nimekutana na Post hii ambayo inadai usambazaji wa umeme kwa vijiji vya Tanzania ni asilimia 100, na nimkekuwa nikisikia baadhi ya watu wakisema hilo. JamiiCheck mtusaidie hapa ni upi uhalisia?
Wakuu nimekutana na Taarifa hii, wanadai Cristiano Ronaldo ana rekodi kwamba zaidi ya magoli 890 aliyofunga hakuna hata moja lililobainika kuwa na mashaka ya Offside. Je Kuna ukweli hapa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.