JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku za nyuma niliajiriwa na benki moja ya biashara hapa mjini nikiwa idara ya mikopo. Thanks God, vijisenti vya kutumia vikawa havinipigi chenga. Nikapata marafiki kedekede, wake, waume, watoto...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Good morning.... Enzi hizo naanza chuo nlikua nashangaa kila mwana chuo anasema kwao dar, mtu anaongea lafudhi yani kisukuma cha ndani kabisa huko mwamashimba ila ukimuuliza kwao anasema dar tena...
13 Reactions
113 Replies
11K Views
Kumekuwa na kilele nyingi sana kuhusu hii serikali kinachonisikitisha izi kile azina faida yoyote kwa tunachokipigia tunachotakiwa watanzani wote kwa umoja wetu kama tumeona hii serikali inafanya...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii ni kwa wana jamiiforums waliopo Shinyanga tu.. please karibu humu tujuane.. na tuweke mkakati wa kuitangaza JamiiForums Shinyanga.
5 Reactions
198 Replies
17K Views
Natamani kumuona Gerson msigwa anatype taarifa kwa umma kuhusu kutenguliwa kwa uteuzi wa mkuu wa mkoa flani anaitwa makondakta[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125]...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ni nani aliyeanzisha haka katabia ka chai na chapati mbili?? Hivi si mnakumbuka tangu miaka ya 90s mpka leo tunaagiza chai na chapat mbili
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Hatunywi sumu..hatujinyongiii...tararara....mbele kwa mbelee..tumeipenda wenyewe..chaguo letu milele na wavimbe wapasuke watajijua wenyewe....tantaaa..acha waisome namba ee..watasoma...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naona kuna fursa ya kibiashara kwenye hili la Gwajima. Ukiweza kukusanya videos zake zote toka siku ya kwanza ameanza kumuongelea bashite mpaka sasa ukaziweka kwenye DVD ukaziandika *GWAJIMA VS...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Kipindi tutaendeleA kufuatilia series kali ya kina bashite jijini itakapoishia Turudi upande huu HIO ID tajwa hapo juu imetoweka Bila kuaga, huyu jamaa pia ni member mwandamizi wa jf karibu Mwongo...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Hivi Usain Bolt akiamua kukimbia kinyumenyume na wewe ukakimbia kama kawaida. Je, Utamshinda? Kwanini?
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Unapopigiwa simu na wife halafu akauliza uko wapi ujue kuna kitu kinafuatia Wife:uko wapi Me:kazini Wife:pitia maziwa Wife uko wapi Me:chumbani Wife:angalia bomba ya bafuni inavuja Wife: Uko wapi...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Baada ya kuamka nimetetemeka sana. Nilikua namsikiliza mkuu uzinduzi wa flyover hapa ubungo , ameanza kwa salaam kwa viongozi alipo mfikia mkuu wa mkoa akaongea kwa vijembe eti kuna watu...
4 Reactions
1 Replies
801 Views
Deleted member 421398
Ukifeli shule bhana unakuwa kama kinyesi bafuni kila mtu anakukwepa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
1 Replies
560 Views
Deleted member 421398
Jamani mkiona tangazo la kutumbuliwa mtu kwa taarifa kutoka kurugenzi ya ikulu la bwana Gerson Msigwa tushtuane hata kama nikiwa nimelala tafadhali....[emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
3 Replies
741 Views
Hivi inakuwaje Masuper star na matajiri wengi wanazaaga Twins tu. Kwani watu wengine wa kawaida hawapatagi watoto Twins sana. Hawa ni mfano wa couples maarufu wenye twins. K-Lynn, Mengi Beyonce...
0 Reactions
110 Replies
5K Views
Wakuu poleni na mihangaiko yawiki nzima,na weekend bila bia naona mpo nyumbani na muda mwingi mashemegi wanawaoneni.Nimechunguza mwenyewe tu wakuu na nikafikia haya ninayoyaandika.Wanawake wenye...
4 Reactions
47 Replies
7K Views
Habar wanajamvi Natumai mkopoa sana kwa mimi ni buheli wa afya mungu anasaidia bado tunagangamala niende straight kwenye mada kuna baadhi ya wanawake wanakuwaga na nyota kwa waumezao tu chukulie...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…