JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Iv inakuadje mnapanga mipango mingi ww na demu wko then mwixho wa cku ata mpango mmoja haujakamilika anakuja Kukuambia kwmb fanya yko wala ucmfikilie iv n nn cha kufanya?!
1 Reactions
10 Replies
846 Views
Iv wana JF kati ya madawa ya kulevya na ngono zembe IPi inachukua nafasi ya kwanza kuathiri jamii?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
saizi huwezi kujua nani guilty na nani yuko clean,katika vita hii ambayo inahusisha watu wa kada mbali mbali inaweza ikabadili uso mzima hata wa siasa za bongo kwenye zike Movie za Mafian watu...
2 Reactions
0 Replies
566 Views
Maana siku hizi kuna wanaume wako hoi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*Adam na Eva wangekua wachina dhambi isingekuwepo maana badala ya kula lile tunda[emoji519] wangemla na yule nyoka [emoji216] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Mara nyingi tumekuwa tukisikia ile birthday ya Wema au msanii mwingine katunzwa gari la kifahari zimeishia wap au muda bado?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ngoja ni cheke kwanza     Leo nilikuwa nipo nawasiliana na bosi wangu kupitia sms sasa kuna jina nimemsevu sasa kila nikisearch naona linakuja group la the bold simulizi ikibidi nitoe macho ...
1 Reactions
5 Replies
954 Views
Habari wakuu wa jukwaa! Leo nimemkumbuka member mmoja maarufu sana hapa jukwaani, ni kama miaka miwili yuko kimya, sioni tena mabandiko wala komenti zake. Wale wazee wenzangu ambao mmekuwepo mda...
0 Reactions
4 Replies
621 Views
Wiki iliyopita nilifika hapo mjini nikitokea kwetu huku Namtumbo, miaka kadhaa nilikuwa sijafika hapo mjini, ukweli vingi vimebadilika sana ,barabara majengo ,marefu hata usafi baaadhi ya maeneo...
3 Reactions
100 Replies
47K Views
Kupiga picha umezungukwa na chupa karibia 50 za pombe. Kupiga picha umezungukwa na.... Kupiga picha kwenye Hoteli kubwa kubwa za kisasa kupiga picha unahesabu pesa nyinginyingi/dollar. Ongeza na...
0 Reactions
6 Replies
824 Views
Aisee kuna siku kichwa kilinigonga hayo maumivu yake sio ya mchezo, Yani nlikiwa nahisi pfunk anapiga nyundo kichwani ..... Tupe experience yako kuhusu maumivu uliyoyapata, chanzo na hali...
0 Reactions
1 Replies
579 Views
Uchawii sio kushika Tunguli tu na kwenda kuwangaaa....[emoji250] Kukaa online bila hata salam nayo ni UCHAWII[emoji35] Kusoma msg za watu wanavyochat na Profile nao ni UCHAWII[emoji51] Kukenua...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Kwa wale walio wapendwa wangu nachukua nafasi hii kuwajulisha kuwa kuanzia kesho nitakuwa vijijini sana sehemu ambayo hakuna hata "network" kwa wiki kadhaa hivyo msiponiona msipate shaka...
11 Reactions
89 Replies
4K Views
Mwandishi:- "Kwanini Wanasiasa wala rushwa hawaendi Jela" Mugabe: Hi Nisawa na Mbu anayeng'ata kwenye Pumbu hawezi Kupigwa Kofi zito
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Kama ni wewe ukute sebuleni kwako mbwa kafanya hivi je!!utamchukulia maamuzi gani
0 Reactions
3 Replies
4K Views
niaje wadau tumeni vichekesho kwenye uzi huu (vichekesho tuondoe stress)[emoji2] [emoji3] [emoji12]
2 Reactions
116 Replies
23K Views
Siku zote mimi naamini hakuna aliye mkamilifu na kila binadamu ana mapugufu yake japokua mengine hayawezi kujionyesha lakini kuna wengine watakujua upungufu wako. Hata kukosea ni jambo la kawaida...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari za kazi wanajamii wenzangu!!??? Mim Nina muda mwingi katika mahudiano na wasichana mbalmbal cha ajabu huwa nawashangaza wasichana pale tunapokuwa tunagegedana huwa nimevaa nguo zao za...
1 Reactions
68 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…