JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Pls cm yangu hiyo tajwa hapo juu imepatwa na tatizo upande wa camera na touch hazifanyi kazi kabisa ukiweka on camera inaleata maneno kama"can't connect to the camera,ilianaza kugoma kupiga picha...
0 Reactions
5 Replies
886 Views
Nilikutana naye kwenye daladala nikavutiwa nae tukabadilishana namba za simu, kutokana na ubize wa kazi nikajikuta wiki imepita bila kumpigia wala yeye hakunipigia. Asubuhi moja naamka nakutana na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar wakuu, Leo ningependa kushare nanyi njia rahisi ya kupiga pesa katka mitandao ya simu bila kukamatwa.. Hatua 1. Hakikisha Una line ya simu iliyo sajiliwa Na huduma ya kifedha mf.Mpesa...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Hiki ndicho kiingereza cha polisi wa TZ Polisi alimkamata mzungu "Yesterday I saw you at the maize shop(akimanisha jana nilikuona dukani kwa mhindi) When you saw me you started to six...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nauliza humu jukwaani kuna watu wanaomba ushauri kwa mambo yao au mambo ya mtu mwingine. Sasa ni nani ambaye akikupa ushauri unaridhika au akitoa ushauri kwa mtu mwingine ushauri...
0 Reactions
51 Replies
3K Views
Baada ya kujadiliana mengi kuhusu Mirungi na wala mirungi....sasa hebu tujulishane statehe zake ma madhara yake kabla hatujamuomba Mh.Msukuma kuwasilisha bungeni tena ili ihalalishwe
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Mahombi mema Zero IQ:
0 Reactions
1 Replies
874 Views
WanaJF tuliooa maeneo tajwa (Machame & Mbeya-hususani KYELA) tunakusudia kwenda kuusajili Umoja wetu kama taasisi ya kutetea haki zetu pale inapotokea Kash-kash zozote katika ndoa zetu. Hivyo basi...
2 Reactions
114 Replies
9K Views
Kwanza Mmekulaa!! ASILIMIA 95 (95%) YA MAKAMASI NI MAJI!!!!(amazing)[emoji15]
0 Reactions
10 Replies
9K Views
Habarini Wadau, ◆ Yawezekana katika maisha yako tangu kuzaliwa, kuanza chekechea, primary, secondary, chuo au katika pilika za maisha ulipotezana na jamaa ama rafiki yako wa karibu. ◆ Tutumie...
1 Reactions
13 Replies
964 Views
Ktk vyombo mbali mbalimbali vya habari walisikika madalali wakisema eti january ya mwaka huu imekuwa ngumu sana ktk kazi zao tofauti na miaka ya nyuma hii inatokana na ukweli kwamba eti nyumba...
0 Reactions
0 Replies
921 Views
Hii sasa Kali *Ukiona dem anakutazama sanaaa.. Ujue kuna mambo mawili, Either amekupenda au anajamba...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
[emoji133][emoji133]mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa makandawila[emoji133]? ?mama kaniambia atanipa mwali akinipa mwali nitampeleka kwa...
4 Reactions
10 Replies
3K Views
shida ya demu mfupi ukirudi unakuta kakufulia vizuri tu,lakini hajaanikaa!
3 Reactions
5 Replies
2K Views
...Thread Closed... Thanks for all the information that you shared.:)👍
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi ni kidume cha mbegu ninayejiamini, Sasa nasemaje Kama kuna demu yoyote humu ambae anajiamini kwamba anaweza kuikwepa mishale ya voko zangu basi ajitokeze tu. Alafu wengine pigeni kimya kama...
13 Reactions
177 Replies
11K Views
*jamani katika pita pita nimegundua watu hawavai kabisa ngu0 za ndani hata wewe mwana jamiiforums eti huvai ngu0 ya ndani dah inasikitisha kila ngu0 ni china,thailand wakati nguo za ndani kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Inasemekana kama mtu kaanzisha mada na ikapata replies nyingi basi huyo mtu hafai kuitwa great thinker kwa kuwa hana uwezo wa kuandaa mada ambayo itasababisha watu waumize kichwa kwenye kuchangia...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Habari wakuu, Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea.... Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza...
7 Reactions
203 Replies
25K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…