Nimeweka hii topic niangalie jinsi wa Tz wanavyokurupuka wakisiki neno UTAJIRI si unaona umesoma fasta.
Pumbaaaaaaaaaaaf!!!!! hakuna utajiri wa haraka chapa kazi.
Sasa nmepata kuelewa kwa nn 50 cent alisema get rich or die trying
Tangu nmekua nmeona visa vingi vya kufanya niione nafasi ya mwenye pesa na asiekua na pesa katika jamii
Mtu yoyote akisema...
Wapendwa wana Jamiiforums
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, naomba unitakie chochote kile unachoona wewe kinaweza kunifariji na kunifurahisha siku yangu muhimu ya leo. Akhsanteni sana na MUNGU...
Wakuu,
Kwa kweli nimetokea kumpenda sana huyu Dada Elizabeth Michael (lulu) na kama nikipata namna ya kuonana nae tukafanya mazungumzo tukielewana naoa kabisaa!
Japo naombeni msaada namna ya...
Enzi za Shule,…
Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiji wa namba wanabishana. Mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema ni -3 wakati wewe umepata jibu 41,987.
Hapo ndio...
Nataka kula bata next weekend, i want to enjoy ila sijui niende wapi.
Am an indoor person, hua sitoki toki so nitajien sehemu ambazo kutakua maybe na kashow au karaoke au event yoyote nzuri nzuri...
Niaje wazeiyaaah..
Mko Bwaxx..
EBANA SAWA :
Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana...
Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa...
Wandugu,nilijiapia mwaka huu sitaki tena mambo ya michepuko lakini naona nimewekwa majaribuni.Tena na demu wa jamaa jirani yangu tu.Sina mazoea naye ya ki vilee...lakini siku za karibuni hapa...
Kweli mziki wa bongo flava unapaa maana si kazi rahisi msanii wa bongo flava kuhudhuria na kutumbuiza kabisa siku ya kuapishwa rais mteule wa Marekan bwana Trump.
Kwa taarifa rasmi kutoka white...
Hizi singeli sasa hatari. Mwalimu wa usafi aliingia darasani akakuta darasa chafu ikabidi aulize wanafunzi "Zamu ya nani leo?".
Wanafunzi wakajibu "Zamu ya man fongoooooo!" Mwalimu akabaki...
Hakika siwezi pitisha usiku mmoja bila kula tunda hili Mara tatu, saa 4 usiku, 8 usiku na 12 alfajiri! Nashindwa kujizuia jamani, nimejaribu sana kujizui walau iwe Mara mbili au moja ila...
Unaangalia muvi ya Yesu waloigiza wabongo
Maria: Yosefu nina mimba
Yosefu: Yesu wangu! mimba ya nani?
Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa maana km ni mimba bado hata...
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police.
Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako...
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji...
*```Unakuta MTU mwaka 2016```*
*```umehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30,```*
*```mikutano kanisani 40,```*
*```Ndoa 80 na bado uko single,,
Kwani wewe ni turubai jaman ??