Mdada akiwa na Tabia ya kufungua sana Mikono
Kuomba-omba Hela au Kuomba-omba Vitu kutoka
kwa Mwanaume au Wanaume fulani, Ndivyo na hao
anaowaomba watakavyomuomba-omba na yeye
afungue Miguu yake...
Msema kweli mpenzi wa Mungu. Jana nilileta uzi hapa kuhusu wanawake wa kimbulu jinsi walivyo wazuri, hapo nilikuwa Babati. Leo bwana nikaenda Katesh, mama yangu!!
Huku ndio utajua kwanini Mungu...
Imebainika kuwa yule mtabiri wa kisiasa na kiuchaguzi Sheikh Yahya Hussein ni usalama wa Taifa kwakuwa ana majini yanayomlinda Rais.Hii ni kwa mujibu wake yeye mwenyewe.
Jana nilipokua nimelala usiku nilioata maono baada ya kutembelewa na bwana. Nimepata maono kua wengi wenu bado mnatumia miswaki ya 2016. Na msipoibadilisha mtakufa!
Unafanya kazi gani? Jua anakuadiria utamfaa ama laa
Unakuja na gari?
Najisikia vibaya sina hela ya kwenda hosptal
Natamani tuonane ila nywele sijasuka siwezi kutembea hivi
Unaweza nisaidia...
Maisha yako yanaonekana yamebinuka-binuka tu
japokuwa huishi kujimegea pande na kujisadifu
kwamba wewe UNAFAA na ni Wife Material Mzuri
tu...Umekazana kuwaaminisha watu kwamba
wewe ni Almasi...
Dah kwa kweli hili tangazo la Dstv bomba linachekesha sana na hata hawa waliohusika walijua kutakuwa na tafsiri nyingine kwa watazamaji.
Jamaa:unaonaje bomba?
Demu:aahh iko bomba.
Habari za asubuhi, natumia mu wazima wa afya.
Naomba ukipata muda tu unikumbuke kwa sala zenu. Safari niendayo iwe salama nikawakilishe wajibu niondako.
Mungu akubariki utayenikumbuka
Asanteni
Budget:3000
Location:somewhere x
Baada ya kuacha pombe na company yake hivi ndo navojipq raha mwenyewe kwa budget nzuri kabisa.
Good music+good shit +nature = good feelingss
Karibuni.
Nimegundua kuna Wanaume wa aina nyingi sana
duniani...Ila kuna hawa wengine ambao
wanashangaza sana...Mwanaume mzima na ndevu
zako kama wajukuu wa siafu unakaa kijiweni
unalalamika, ''Demu wangu...
Leo admin kwenye group flani iv kasema wanawake ni kama vocha ukishatumia unatupa tuu , Nikamuuliza Dada yake ni mtandao gani Nashangaa naambiwa " You can't send massage to this group because u're...
Brilliant article, just couldn't resist sharing..
Ducks Quack, Eagles Soar
I was waiting in line for a ride at the airport in Dubai. When a cab pulled up, the first thing I noticed was that the...
Unataka Kupunguza unene fasta bila madhara,bila dawa,bila mazoezi?
Kuwa Mchepuko wangu nikutie stress,nikulize kila dakika unakonda baada ya siku mbili