Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA.
UNAZEEKA VIBAYA BABY JAMAN KWAHIYO...
Habari wanakijiji wenzangu,
Imekuwa kawaida humu ndani mtu kumkubali mwingine au pengine kutomkubali.
Mara nyingi bila hata kuwahi kuonana uso kwa uso au kuona picha za mhusika.
Watu hutoa...
Habari Waungwana?
Bila shaka tutakubaliana kuwa kukutana katika
Mitandao ya kijamii kwa wengine kumepelekea
Ukaribu wenye tija, faraja na wa-kuenziwa
Hata hivyo, Binadamu tuna mengi,
Ni...
Imekuwa kawaida kwa mtu kuingizwa kwenye kundi fulani hasa anapokuwa ametoa maoni yake yasiyo wapendeza watu fulani!
Kutokana na mchango wa mtu basi watu wanaopingana naye humwita kuwa ni kundi...
leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee...
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati.
2.Inbox na sending items hufutwa kila
wakati.
3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu
kwanza…….
4. Kamwe haiiti always vaibration.
5. Namba...
Donald Trump is planning 2 paint the White House in preparation 4 his term in office as USA president. He asked Chinese contractors how much they would charge. They said 3 million. He asked...
teh teh teh !
Rais nyerere Mungu ailaze mahali pema peponi amina! ulipotutoa hakika unastahili pongezi zisizo na kifani. asingekuwa wewe ...............
swali linahitaji majibu wanajf
Mpaka sasa raisi wetu ameshatunukiwa PHD za
Heshima 6,na mimi naomba niwatunukie Phd za
Uvumilivu wale wadada woteee ambao
ukiwaangalia ni wembamba lakini siku
atakayokutambulisha "PLEASE MEET MY...
Nakereka natabia za watoa huduma kwa wateja wanaoniambia nkusaidie nini? au unatatizo gan?
Unakuta mtu umeamua kupiga customer care vodacom kana pokea kadada kanajitambulisha vizuri alafu...
siku moja Ndenshau alikosema kutuma laki mbili na kupiga simu huduma kwa wateja maongezi yao yalikua hivi:
Mhudumu: Halo! unaongenga na JACOB toka BOGACOM,nikusaidie nini?
Ndenshau: Halo...