Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha , mara chipsi
Alipofika Kateshi akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo...
Habar
Kila siku na mood yake!mi saa izi nasikiliza wimbo
Wa “lavalava -habibi”
#maishaSiyoKuwaSeriousMudaOte
Tuambie unasikiliza wimbo gan Au ndo unasikiliza makelele ya mkeo??[emoji23][emoji23]
Wadau hamjamboni nyote
Nawaletea maeneo yenye kitimoto nzuri sana maeneo ya Tegeta/ MbeziBeach/ Kunduchi
1. Family bar Tegeta mbele ya Azania bank
2. Skanska njia ya kwenda IPTL
3. Bushman pub...
Ijumaa nilimpokea mgeni, ambaye ni shangazi yake waifu. Ametoka mkoani na yupo hapa Dodoma akifuatilia mafao yake baada ya kustaafu. Hawa wenzetu askari hustaafu wakiwa na umri mdogo ukilinganisha...
Kama wewe
1. Unamuamini Mungu
2. Unafanya kazi ya halali na kwa bidii kupata riziki
3. Huna imani za kichawi na kishirikina
4. Sio mlevi wa pombe au sigara
5. Umeoa au kualewa na unaiheshimu ndoa...
Mpambano huu uwe na nia ya kuburudika lakini pia kujifunza na kuongeza ufahamu kuhusu jamii ya kaliba moja lakini mazingira tofauti wanavyoweza kutofautiana makubwa
Ni mpambano wa wanawake wa Dar...
Maisha sio lazima tung'ang'ane na vitu vigumu tu kila siku.. let's have some fun here. Dedicate wimbo wowote kwa memba mwenzako,mtag na weka wimbo husika kwa muhusika.. naanza namna hii.
Kwanza...
Namtafuta rafiki rafiki rafikii
Rafiki yako naani naani naanii
Rafiki yangu Meendee Meendee Meendee
Huu mti gani, wa mchongoma
Nikiukata haukatiki
Hata kwa panga, haukatiki
Hata kwa shoka, haukatiki.
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS...
Mji wa kitalii umedesigniwa kwa ajili ya wageni kuspend, kutumia pesa.
Pia kwa ajili ya labour vibarua wa kujenga.
Swali je mnaoishi huu mji mnaishije ni mishe gani inaweza ikakuweka zaidi ya...
Ama nianzie 40/40 pale Tabata Bima ama The great park pale Barakuda ama Kwetu pazuri ingawa haina shangwe now days ama Makhirikhiri kule Kinyerezi?
Ungana nami jioni ya Leo nikiwa Tabata kwa...
Nanukuu
"Wapendwa Wakenya, tafadhali mnisaidie kuungana tena na baba yangu Elon Musk.
Mapema miaka ya 90 mama yangu alikuwa meneja wa hoteli ya JW Marriot Masai Mara Lodge, wakati Elon Musk...
Nimefurahi sana kuona huyu Mwanasheria na member wa chama chetu pendwa cha UWABATA akisimamia Ilani bila ya kuyumbishwa na Binti huyu.
Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
Hii kitu nilikuwa na nyota nayo.
Kila nikinywa sehemu soda na nyama naandikiwa namba za simu na mhudumu kwenye bili.
Nkawaza ningekuwa nakunywa bia ingekuwaje kama soda wananiandikia namba zao...
Mpira sio maneno wala kuhamasisha watu kwenye jogging kisha unachukua simu unampigia Mayele halafu anakuahidi mbele ya wajinga wajinga kuwa watashinda mchezo huo, Big No.
Mpira ni sayansi, hata...