JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
UTABIRI wa hali ya ndoa; Wanaume watakuwa wakali kipindi cha mwezi Januari hadi mwishoni mwa februari kuelekea mwanzo mwa mwezi Machi, na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kwao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hii inanikumbusha mwalimu wangu wa Maths Form three... Anasema divide by... Halafu ole wenu msimalizie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee wa zamani bhana.. kwakweli walikosa kazi, yaani wanakaa wananusa mavi halafu wanatunga methali eti "MAVI YA KALE HAYANUKI"[emoji1] [emoji1] [emoji1]
2 Reactions
2 Replies
2K Views
sasa ww unafungua hapa ndio kusema huna dhambi wakati unaonekana kila baya kwako ndio ikulu.fuata maelekezo bana
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo ndio sikukuu ya krismas, pale kwenu na kwa jirani yenu, kuku wengi Leo wamefariki. Taarifa zinasema maiti hizo za kuku zitazikwa kwenye kaburi la mdomo wako na kufukiwa tumboni. Cheka walau...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeweka humu ila hii ni true story! P.E=pumbu erosion: kipindi hicho mazengo kabla haijawa saint john university sisi ndio tulikuwa wanafunzi wa mwisho mwisho!Sasa vyoo vilikuwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Msubirie ameenda maeneo yake weka Maji jikoni Akirudi tu, mwache aingie chumbani alale, akishalala, endea Maji yako jikoni. Chemsha zaidi, chemsha , chemsha, shemasha wakuu Epua, weka kwa kikombe...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee" Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli...
12 Reactions
215 Replies
36K Views
Habari zenu wanaJF kuna hii style ya kisasa inaitwa Dab .. Ina maana gani?? maana inanikera Sana kwenye Maharusi Dab,Mashuleni Dab Mitaani yani kwa kifupi Everywhere! Ina maanishaje?
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hapa jirani kuna baba mmoja ambae ana watoto wawili wa kiume. Baba huyu inasemekana ni jambazi wa kutupwa. Aliwafundisha watoto wake ujambazi na namna ya kuua...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
*Hizi kampuni ziwe fair jaman mbona kwenye matangazo colgate na whitedent wanaonyesha MENO lakini #ALWAYS na FREESTYLE hawaonyeshi kitu chochote??*
1 Reactions
7 Replies
855 Views
This is our blessed month! Let's celebrate! All Capricorns, all those who were born this month of the year!
4 Reactions
26 Replies
2K Views
Nani kakukera zaidi 2016? 1. Your parents 2. Ndalichako 3. Vodacom 4. Tigo 5. Airtel 5. Landlord 6. Bus conductor 7. Startimes 8. Your boss @ work 9. Husband 10. Wife 11. Boy friend 12. Girl...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mara nyingi ukikuta watu wana urgue. ...kuna mtu mmoja kati yao ni ignorant. .... Hivyo kila kwenye mzozo tafuta kumjua ignorant then songa mbele. Kipimo hiki ukikitumia vizuri kitakupunguzia...
0 Reactions
1 Replies
533 Views
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit...
5 Reactions
204 Replies
14K Views
Mzee mmoja alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao! Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao pwaa! Baba akasema mimi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi vitu bhana ukiwa na stress vitumie kula pombe za kutosha piga muziki huyo demu wako aliekuzingua unamsahau fasta tu ndo mana darassa kasema MAISHA NA MUZIKI na SI MAISHA NA MAPENZI
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…