JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Habari wanajukwaa, Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :- 1:- Mara 2:- Mwanza 3:- Kagera 4:- Shinyanga 5:- Geita 6:- Simiyu Ongeza...
2 Reactions
58 Replies
4K Views
DARASA, OMMY, ALI K NA DIAMOND Kajiandae team "diamond hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu" DARASA "Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki" KIBA (Akitaman...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
MADHARA YA KUNYWA MAJI KABLA YA KULALA Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
*We Mdada unaeringa na iyo FIGURE (shape) yako...umesaau kuwa MATHEMATICS ilikua na Figure kibao ila shuleni bado Tuliikimbia?*[emoji276][emoji276][emoji276]
2 Reactions
6 Replies
1K Views
ZAMU YA NANI KESHO? Zamu ya MAnfongo... Zamu yako inakuja kesho.. Usishangilie mkubwa wangu. Kilango... Kapita Sefue... Kapita Likwelile... Kapita Hata MAFURU... Kapita.. Kapita ...kapita...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni...
2 Reactions
118 Replies
6K Views
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Tupa shida chini nyosha mikono juu, nafikiri ni muda muafaka kutafakari maisha kwa kupata kinywaji chako pendwa na kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Mwisho wa mbio za kwanza ndiyo mwanzo wa...
1 Reactions
7 Replies
755 Views
Nimetoka kifungoni ila aliyenisababishia ban nitadili naye mpaka kuzimu[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] nimeumbiwa visasi sijui kitu msamaha
1 Reactions
9 Replies
680 Views
Hizi ni baadhi ya picha nilizo zipata kwa wanaume wa mkoani!!!!
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mtanzania alali natafuta natafuta mapapai mazuri sjui yanauzwa wap
0 Reactions
10 Replies
901 Views
mh!
0 Reactions
3 Replies
930 Views
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unashangaa wenzako wanabarikiwa wewe unabaki unajiuliza kwa nini? Kumbe kila siku Mungu anakuja kukubariki anakuta unaimba ule wimbo wa Ali Kiba "MALI NI NYINGI NYUMBANI.........," Anaamua kurudi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
[emoji23][emoji23][emoji23] Teacher:I will ask a question and whoever gets it right I'll give my iPhone 6S,.....How many men did Jesus feed? Felix:5000 men, Teacher:Good,take the phone and ask me...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…