Katika hali isiyo ya kawaida, baada ya Sinza kupoa kwa muda mrefu kidogo sasa jioni hii katika hali ya kuashiria mishahara imeshatoka.
Nilichojifunza, sasa Hivi asilimia kubwa ya watumishi...
Habari wana jf!!
Nimatumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya.
Leo ningependa tuzungumzee juu ya mpango endelevu wa serikali ya Tanzania katika kutatua suala zima la ukosefu wa ajira nchini...
Msanii yupo jukwaani halafu anauliza "Oya Machizi vipi...?!!"
sasa sikia mashabiki wanavyojibu et ni fresh tu!!
msanii anahoji tena "machizi mko poa..?!!"
sasa mashabiki kwa yowe la kutosha...
Jamani siamini mtumishi huyu wa Sir God Nae ni mwanachama mwenzetu, Weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Mama muuza nigeie ya jero nitoe lock fasta. Nikatoe gari yangu barabarani,
Mi...
Mi kwa upande wangu sikupenda kuvaa viatu kabisa na nilikuwa na rafiki yangu ye ilikuwa ni kupigana yaani ikipita wiki bila kupigana tutajiuliza kunani.vipi wewe hebu tupia .....
Habari zenu wana JF,
Could anyone suggest theatre rooms where I can watch a play or something. preferably in arusha or dar...nipo interested sana na sanaa na sijajua mahali ninaweza kuspend my...
Wakuu, wana chi-chat, Mabibi na Mabwana: poleni na majukumu ya wiki nzima.
Ili kupunguza machovu ya mihangaiko basi nawakaribisha mjichagulie nyimbo ile enye mnapenda na mui-dediketi kwa wale wote...
Wazee wa vimiminikaaa,weekend ndio ishaanza kunogaa,
Leo lazima kunawakaaaaa
Wazee wa bapa kwa mnyamaa
Vyesto lager nk
Balimi a.k.a Fastjet--bei ndogo majibu fastaaa
Siku ya kuweka shidaa...
My thought drive me in difficult and different way when l think about women from world embu ona hapa;
1.Wanawake wa kiafrika most of them ni ma black beautiful vibaya mno sasa naachaje kuwa...
1. CAMERA:
Simu hii ina Camera bora zaidi ambayo inafaa sana kwa selfie (kupigia picha kwa camera ya mbele/kuselfika)
Upekee wa camera hii ni kwamba ina upana mkubwa kuchukua eneo kubwa la...