JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
oy wanaojua series kalikali za kikorea au kiingereza toeni mijiwazo yenu bac
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hakuna haja ya kueleza kwanini naanzisha thread hii, lakini naamini watakaobaini wataendeleza ninacholenga. Nimetembelea thread ya Smile hapa -...
14 Reactions
146 Replies
7K Views
Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo #nawaza kwa sauti[emoji3][emoji1] [emoji9] [emoji9]
3 Reactions
16 Replies
2K Views
1.Gatekalii 2.Supermarket 3.To yeye 4.Leo.Leo 5.Balibabambonahi 6.Pharmacology 7.Shamkware 8.Asprin 9.Kedekede 10.Cheka upigwa 11.Tunakodisha Bunduki 12.Ice man 3D 13.Nimpende nani 14.Kitumbikwela...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
*_Mwalimu Wa Hesabu Aliingia Dalasani Na Akaanza Kumuuliza Juma Swali_* [emoji28][emoji28][emoji28] Mwalimu:juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi? Juma...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Ukiendelea kukaa kimya niandalie barua ya kuniachisha kazi. Sitakagi ujinga mimi
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna jamaa alipigiwa sim na mpenzi wake ikawa hivi.. Mpz:+ hellow baby nime kumiss. Jamaa:+ hata mimi baby. Mpz:+ unajuwa nini mpenzi? Jamaa:+ nini mpenzi. Mpz:+ kuna kitu nataka nikuambie...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE.... Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea....
9 Reactions
11 Replies
3K Views
Mchaga aliamua kufungua bustani ya wanyama akafanya kiingilio 10,000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 5000/-, pia hakuna aliyeingia, akashusha tena 2000/-, hakuna aliyeingia, akashusha 1000/-...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Ukituma Zawadi nyumbani toa ufafanuz ni kwa ajili ya nn haya huyo katuma pazia watu washamshonea Binti nguo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Tume inawatakia ushiriki mwema.
0 Reactions
2 Replies
637 Views
Sijatumbuliwa na yeyote yule japo niko mbali kidogo! Nitarejea soon
21 Reactions
178 Replies
9K Views
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] naanza kwa kicheko. Manager haishiwi mbwembwe jukwaa la bure lazima nitiririke kama mzaramo kaona mdundiko. Dunia ya Leo wawindaji tunawindana tena zaid...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
This economy problem in Tanzania is no longer funny ooo! Today I saw a woman Negotiating school fees "Mwalimu, na tukitoa geography na Civics itakua ngapi, I want him to become a doctor not a...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
hivi humu hakuna wanaoongoza kwa pumba hebu tupia zako kama unahisi una kipaji hiko amazing mshindi atatajwa na kupewa zawadi
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Mtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''.. Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi...
5 Reactions
93 Replies
5K Views
hivi humu hakuna wanaoongea pumba kama unahisi unaoongoza kwa pumba hebu zitupie humu mshindi atatajwa na kupewa zawadi shiriki ubahatike bahati ya maisha
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Wakuu Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi Ukiwa mwema kwa kila mtu unatengeneza njia ya kila mmoja kukukimbia unapopata tatizo kwani watakuwa wanafata wema ulionao nakusahau kuwa na wao...
10 Reactions
28 Replies
4K Views
Nimetumiwa screen shots za mazungumzo kati ya pedesheee mmoja na diva wa clouds ambapo jamaa akawa anaomba papuchi ya diva kwa million 3 na demu kakubali kabisa na ile number nimefuatilia na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
1.sky elcat 2.miss chagga 3.miss natafuta 4.feitty 5.scorpio me 6.Nifah 7.cute b 8.heaven sent 9.Geniveros Jamani nawakubali sana girls Ilaa kuna huyu hapa 1.Monicca Simuelewagi Sijui kala...
13 Reactions
229 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…