Habari nyote (Waguma),
Hii ndio Dunia ilivyo mjitahidi uwe na gari hata kagari aina ya IST katakusaidia usionekane mnyonge na usipitwe na fursa ya pisi za mjini.
Hio ndiyo kanuni hirizi ya...
Ikumbukwe huyu mwalimu alinitaka yeye na kunishawishi na hatimae tumezama penzini, Sasa alikuta namsimulia jamaa yangu kuwa kuna mwanamke JF anajiita To yeye kuwa nampenda sana na nimepanga kwa...
Wanajamvi habari zenu?
Nimeona kuona mtu anaalamika kuhusu Fountain Gate academy kwamba watoto wanasoma muda mrefu bila kupumzika.
Hayo sisi hatuyataki tunataka tukutane na tuonyeshane kwenye...
"Karibu brother"
"Asante, nataka kunyoa ndefu tu na kupunguza hizi za pembeni"
Unamaliza, anaitwa binti akuingize kwenye chumba, unajua unaenda kuoshwa, lakini anakukalisha kwenye kiti...
1) Katika maisha ya kawaida tunatumia zaidi ya miaka 6 kuota.
2) Wanyama wote huota pia.
3) unasahau 90% ya ndoto ndani ya dakika 10 baada ya kuamka.
4) Watu wa mkono wa kulia, kwa wastani...
Wakuu habari.
Mimi na sheherekea valentine day nikiwa nimelazwa hospital baada ya kupata ajali hivi karibuni na sheherekea na madaktari na manesi huku wakinipa vinywaji vyangu vikiwa drip za...
Wanajishtukia sana lakini kimsingi ni watu ambao tunawaheshimu na kuwapenda. Ufupi sio ulemavu ni maumbile kama ilivyo urefu, unene au wembamba.
Ufupi usikufanye ujisikie vibaya na kukufanya...
Huyu Mtu Maarufu sana Ndani ya Mji wa Sinza Full Mbabe na alishawahi Shinda Mashindano ya Mr Dar Es Salaam na aliposhinda na kukabidhiwa kikombe akakishika kwa Mkono wake akakiminya hadi kikawa...
Nmeona watu wana kumbushia experience yao na hii kitu huko X,sisi tuliyo ikuta inapotea mpk leo tuna experience na huu ugolo wa wamasai.
Wanasema ni kali kuliko ugoro wa kawaida sasa wahindi...
Just imangine wewe ni kijana wa miaka chini ya 30, hujaoa na una kazi nzuri tena unafanyia posta Dar es Salaam. Mshahara ni take home kama 2M hivi na unakaa either sinza or kigamboni.
Maisha haya...
Mjuavyo tena, leo ndio siku ya wapendanao; msiponiona humu kuanzia saa nne na kuendelea, mjue nimeenda kujumuika na upande wangu wa kushoto(Hawa) katika kuburudika katika hii sikukuu ya...
Game tafu sana Wakuu ikabidi nikumbuke nina kachenji uchafu kalibaki CRDB, ndio kwenda kuhakikisha balance nikaambiwa kuna 15800 sasa kibaya sina card ya ATM, ilipotea na hata sim banking line...