Kuna watu humu majina yao yanaonekana kila mara kwenye majukwaa mbalimbali
mfano STUNTER -ChitChat anaonekana sana
Msagasumu -MMU
@hancemtanashati -celebriets forum
Hayo ndio majina...
*AINA ZA VICHAA:*
*1. Kichaa cha Safari lager*
Kung'ata meza na vifuniko vya chupa na Kubinua meza kumwaga vinywaji.
*2. Kichaa cha Castle Light*
Kuparamia kila mdada mweupe na kumtaka...
Jamaa alikuwa na tabia ya kutembea na binamu yake....
Alikuwa anasubiri mjomba na mkewe walale tu halafu ananyata mdogo mdogo mpaka chumbani kwa binamu yake.
Siku moja umeme ulikuwa umekatika...
TULIKUA KWA BASI TUNAELEKEA MWANZA,ILE NAMCHEKI DEREVA KUMBE NI BEST YANGU NA BASI ILIKUA KWENYE SPIDI HATARI, NIKAENDA KUMZIBA MACHO NKAMUULIZA OTEA MI NI NANI,KABLA HAJANIJIBU NIKASKIA KISHINDO...
Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"
Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi [emoji41] SIPENDAGI UJINGA MIMI[emoji41][emoji41]
zamani nilipokuwa mdogo hii ndio ilikuwa siraha yangu, kwa maana umbo langu lilikuwa dogo, so sikuweza kupigana. Ukinitibua tu nakupa maneno mpaka ukimbie (USICHUKIE) Amey Gat una bichwa kubwa...
Mambo wakaka na wadada humu..
Naitwa NITAKUFA LINI..
Nimekua naona watu wanatamka hili neno "papuchi" kweny hizi discussion zenu..
Mara "hanipi papuchi yake"
Mara "papuchi yake ndogo"...
Nina mchepuko wangu ambao ninausimamia kwa 100% katika kila kitu
Huu mchepuko unanipenda kwa ninavyouona,pia nishauchunguza sana hauchepuki labda kama unafanya kwa siri sana
Tatizo lake...
Kila nkienda kwenye harusi wazee wananiambia "bado wewe tu"
Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutana kwenye mazishi Sipendagi ujinga mimi?... Hehe
Habari zenu wakuu
Leo nikiwa katika kivuko kutoka mwanza kwenda ukerewe nikiwa nimekaa siti moja na wasukuma hawa walikuwa wakiulizana kuwa hivi kuna sababu mwanasheria kumuomba Mungu na kusali...