Ukiingia kwenye JF Web Analysis utakutana na zaidi ya members zaidi ya laki 8, zaidi ya Post 8m na Guest 6m. Cha ajabu, huwa sifumanii mwana JF akiwa JF
Nimeishia kuona Guests wakiwa kwenye vituo...
Kitambo sijakuwepo jukwaani.
Nmewamiss sana nikisema nianze kutaja mmoja mmoja sitamaliza. Hivi mnajua ushauri wenu uliniamsha usingizini nikaachana na yale mahusiano sugu.
2024 ni mwaka mzuri...
Tangu enzi na enzi mwanaume hajawahi kuwa Sawa na mwanaume. Hizi ni baadhi tuu ya tofauti kati ya wanawake na wanaume.
Sasa Nina shangaa hawa wat u wa haji za kibinaadamu kuja na kelele nyingi...
Tofauti na Hapa Africa ambapo Misibani wanaenda kujitafutia Sifa, Umaarufu, mbwembwe na hata kulogana
Nawatakieni Jumatano ya Majivu Yenye Baraka
Rip Edward Lowasa
Mpwayungu
Kwa wenyeji wa Tarafa ya Mpwayungu, leo nipo hapa kwa masaa sita hivi, Kijiji ni kitulivu siyo mbaya, leo hali ya hewa siyo mbaya kabisa maana najua wazi kabisa kua, viunga vya Dodoma...
Habarini za jioni wakuu..
Bila shaka mko na weekend nzuri kabisa,
Kwangu mimi weekend ni mbaya nimekaa leo nikamkumbuka huyu kaka, alikuwa rafiki yangu sana tukaja kupotezana, sijui ntampata...
Habari wanaJF.
Kuna wanasayansi wengi wamepita na wamefanya mengi mazuri, na sifa zao zinaishi mpaka kesho.
Lakini Kuna wanasayansi waliogundua kwamba ili mtu alale Ni lazima angalau ajifunike...
Wana jamvi,habari ya muda huu, jamani nina shida na nina mtafuta mwana jamvi mwenzetu anaitwa Castle, picha yake hiyo hapo juu.
Popote ulipo castle nina kutafuta sababu nina hitaji msaada toka...
Nimekutana na msemo huu katika pita pita zangu ila nikabaki nasikitika kwanini tumefikia hatua hii.
Hii inaonyesha watu wamekwisha kata tamaa ila hapa inabidi tujifunze kitu pande zote mbili...
Ile siku mahususi kwa ajili ya wapendanao imewadia. Yaaani 14 February, hii ndio siku ambayo gest zote nchini huwa bize.
Je, unapendwa?? Mara yako ya mwisho kuambiwa nakupenda na mme, mke, etc...