Hello,
Huku mtaani kila mdada ukimtongoza (98.9% of them) lazma aombe zawadi na usipotoa, papuchi hupati, tena na hiv makufuli alivositisha ajira kwa miezi 2, uwiii hali ndo imekuwa tete...
*Mchungaji anaposema, tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu" alafu kwaya wanasimama wanaimba*
_"Hakuna wa kufanana naye"_
Unashidwa elewa ni jinsi gani KWAYA HAWAPENDI UJINGA...
Yani mzungu alipopanda ndege na mbongo walikaa sehemu moja kwenye kiti yule mzungu akamzaru sana mbongo basi mzungu akamwambia mbongo na tuulizane maswali wewe ukikosa jibu unanipa 500 na mimi...
wakuu salaam
Mimi ni mpenzi wa vinywaji hivi viwili, maji na different cocktails
kwa muda sasa nimekua mraibu wa vinywaji hivi hasa siku kama ya leo weekend inapoanza bas ni lazima nitoke nikae...
Wapendwa habarini za kutwa.
Uzi huu nimeunakili mahari flani kwa hiyo nautua kwenu ili kuwashirikisha nanyi mkune vichwa vyenu:
Je; ungekuwa wewe ungefanyeje...
Nawaza tu kwa sauti; watafiti waliofanya kale ka-utafiti na kuja na majibu eti mmoja kati ya wanne ni kichaa!
Huo utafiti umewapa kinga Hao watafiti au na wao wanahusika kwenye hiyo 1/4?! Tusije...
Wana jukwaa salama!
Naomba tushare experience kidogo kwanini baadhi yetu hatujalala usingizi muda huu instead tupo humu Jf.
Kwa upande wangu ni msongo wa mawazo kwani kuna mambo yananiumiza...
sijakaa sawa nikajikuta nimeungwa grup la clasmets wa O-level.....nikakausha
siku mbili baadae naombwa namba na clasmet wa primary eti nimpe no nayotumia watsap kabla sijamjibu nikaungwa....la...
wadau nakumbuka siku ya kwanza darasa la kwanza nilipewa sh 40 zote nlitumia kula sambusa maana vilikuwa vitu vigeni kwangu .....daah stasahau siku hiyo........vipi kwenu wakuu ilikuwaje siku hiyo?//
Nimehangaika sana kutafuta mke na hiyo ilikua sababu kubwa kuniingiza humu ndani baada ya kushindwa kumpata mwanamke wa kuishi nami huko nje.nimetumia several gears kujaribu kuattract warembo...
Wakuu habari zenu...
Nilikuwa MMU kule nasoma post ya jamaa kupewa utumbo na hawara yake. Baada ya kusoma comments za watu nikawa najiuliza swali ambalo mara nyingi nimekuwa nikijiuliza kila...
Kama serikali jana ingempa PSG,ARSENAL,BARCELONA,ATLENTICO,MADRID NA BAYERNMUNICH halafu waweke Bilion 6 kwenye mkeka hakika leo wanafunzi wangepata mikopo tena ya 100%
odd 3.54 x 6 billion = 21...
...Upo kazini umeacha familia yako nyumbani mara ghafla unapigiwa simu kutazama unakutana na no ngeni na kuamua kuipokea ndipo unakutana na Sauti ya msichana ya kuvutia...
Ushawahi kukosana na jamaa lenye nguvu, linataka kukupiga,
tena lina hasira hadi lina tetemeka, na wewe pia kwasababu ni mwanaume na hutaki kuonekana boya, inakubidi unajikaza pia, lakini moyoni...
sio vizuri kula kula mahotelini au kwa mama ntilie.vyakula vya mtaani vinawekewa vitu vingi sana
hii post ni mahususi kwa mabachelors tunaelekezana kitu cha kupika hapa kwa urahisi.
kesho...
Maisha bhana *huwa nayo hayapendagi ujinga kabisa...!!!*
mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku, ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza...