JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
[emoji117]Ujinga wa ndoto ndiyo huu ••Utaota umeokota dolla ukiamka empty... ••Utaota umeokota dhahabu ukiamka kitandani patupu Dadadeeki OTA Sasa UMEKOJOA..... Ukiamka imoooooo...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo wife kanikera mno. Leo nimetoka zangu kwenye miangaiko nikasema ngoja ninunue kanusu kilo kakula na familia. Mimi nikafika zangu nyumbani nikakabidhi mboga kwa wife nkamwambia andaa msiso...
4 Reactions
77 Replies
4K Views
Mimi huwa nakaa najiuliza sana iv kama baba muumba wetu wa mbinguni asingetuumba tungekuwa wapi saiv nq tungekua tunafanya nini je huko ambako tungekua tungemujua ngosha magufuli na mkwere jk huwa...
0 Reactions
2 Replies
482 Views
tuwe wakweli kidogo hasa katika maisha haya ya sasa
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi kwakweli sitasahau ukoloni wa Mzee wa kununua stendi ya Tv na kuwa anaisukuma kuipeleka chumbani mara baada ya kumaliza kuangalia taarfa....ki ukweli ule kwangu nilikuona naona ni ukoloni ile...
19 Reactions
160 Replies
13K Views
*Chizi kakaa ukingoni mwa bahari analia kwa masikitiko na huku kakamata kijiko cha chai. Mwezake akamuuliza mbona unalia mwenzangu. Chizi akajibu nimetia vijiko vitatu vya sukari baharini, kila...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
FIESTA SUMBAWANGA... hadi sasa hakuna tiketi iliyonunuliwa ila uwanjan tayari watu wameshajaa [emoji74][emoji74][emoji74][emoji74]shikamooni wafipa...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Unapovunjwa moyo wako na mpenzi wako, pamoja na huzuni zote, ni muhimu kukumbuka kwamba huyo ni binadamu mwenzako na sio Mungu kiasi kwamba useme eti bila yeye hauwezi kuishi. Kwani pumzi...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
11.09 2001 nilikuwa Olevel..pale HighLand Iringa ..nilihisi tukio Dogo na Kama Movie tuu kumbe lilikuwa pigo kwa wamarekani na Hatua mpya na yenye nguvu kupambana na Ugaidi Sent from my...
1 Reactions
99 Replies
6K Views
Ukweli busu ni kitu kinachoshangaza hasa kutokana na raha yake, wengi hufurahia sana kutoa na kupokea busu na bado tunakumbukumbu halisi za busu la kwanza lilivyokuwa. Inawezekana na wewe ni moja...
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari za leo wapendwa ,mimi leo nimeona nilete hapa dukuduku hili kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema Watu wamekuwa na majungu tu kila kukicha wao ni kusema tu watu na mbaya zaid...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
:A S-baby:Wana wakuu. Kwa uzoefu mdogo nlionao nimegundua kuna tofauti kubwa sana wa kimapenzi kati ya mademu wa kishua na wale wa kajamba nani,demu wa kishua akikupenda kakupenda kweli. Ila...
0 Reactions
30 Replies
7K Views
Wanajamvi za mida! Poleni na uchovu wa siku nzima........ Nikiwa form two katika shule moja hv jina kapuni , mzee alijitahidi kufight ili awekeze kwa mwanae(mimi), akafaikiwa kupata fungu(pesa)...
3 Reactions
11 Replies
985 Views
Habarini wana JF Nmetafakali hadi uwezo wangu ulipoishia nmeshindwa kudumbua janja inayotumika kwenye hesabu hapo chinu *BIBLIA INA VITABU 66,SASA CHUKUA 66 TOA UMRI WAKO KISHA...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Habari za muda huu wana Jamii Forums! Twende sambamba kwenye kiini cha kichwa cha habari Nakumbuka mnamo mwaka 2002 nikiwa na umri wa miaka 10 tulikuwa tunaishi wilayani Maswa katika kota za...
5 Reactions
67 Replies
5K Views
NAKUKUMBUSHA TUU NDUGU YANGU hakuna binadamu anayeshika mimba haraka kama house girl..
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mchumba wangu Amenialika Niende kwao Nika waone wazazi wake, Lakini kanambia Nisiende mikono Mitupu,... - Nikaamua nivae gloves sipendagi Aibu ndogo ndogo ukweni... .......
0 Reactions
2 Replies
780 Views
Wapendwa habari za Asubuhi natumai Mungu ametuamsha salama. Ila kunakitu nimefikiria.... Ujue me sijaoa wala sijawahi kulala na mwanamke mpka Asubuhi ila kunaswali naomba mnisaidie. Katika hali ya...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…