Bibi na Babu walisafiri wakielekea kwa mtoto wao ambae hawajamuona zamani.
Walipofika njiani wakawa wamechoka Sanaa. Wakaamua kutafuta hotel ili walale.
Wakakubaliana walale kwa masaa 4...
*Jamaa mmoja dereva wa bajaji alianguka, sasa bajaji ikawa imem'bana akawa anafurukuta bila mafanikio Cha ajabu watu wakawa wanampita bila kumsaidia, Kumbe Nyuma ya Bajaji yake alikua Kaandika...
Him : babe, are you OK?.
Her : I'm pregnant.....
Him : WHAT?? But we used protection..!
Her : Did I say it's yours...??
*tuliza mshono*
[emoji28][emoji28]
Mwalimu aliingia darasani akauliza wanafunzi; "ukitoka shule unafanya nini"???
Mwanafunzi wa kwanza: "ninaenda kwa Erasto Magingi kununua bangi"
Mwanafunzi wa pili: "huwa naenda kwa Erasto...
Hivi ni kweli kuna uhaba wa dawa?
Mbona mie sijaathirika na upungufu, kwani ugonjwa wangu mkubwa ni steless.. Bac nikiwa na stress natafuta clip za yule 'mama wa afya'. Bac nikiliona tu lile...
WaTz bwana wakienda Ulaya haraka sana
wanajibadilisha majina, ni dalili ya ushamba tu !
tunakujua ulikuwa unakaa uswahilini pale nyakato,
umesoma Shule ya Msingi kirumba ulikuwa bingwa
wa kuiba...
kuna majina huwa tunayasevu kwenye matukio ya
ghafla ili iwe lahisi kumkumbuka mtu huyo kesho
yake... Kuna baadhi ya watu huwa tunakutana nao
kwenye Situations za GHAFLA,Umelewa somewhere
jamaa...
Leo nlikuwa na jamaa yangu yeye ni mtaalam wa piano nikawa najifunza na mimi akaniambia hii fani uwe makini ukijua vzuri wadada watakushobokea balaa. Eti ni kweli?
Awa jamaa ni hovyo Sana,ndo maana kila siku matusi dhidi yenu yanazd ongezeka.Mnasababisha Ata sie tusio na hatia kutukanwa kisa Tu et tuko Dar.
Vilianza vipanya road,vitoto vidogo,et...
Ama hakika mapenzi ni matamu sana ukimpata akupendaye mkashibana. Kumjali mpenzi wako ni jambo la msingi sana lakini ni vizuri kuepuka kuwa na kiherehe sana. Jamaa mmoja alijikuta taabani mara...