JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
TAMKO LETU WALIMU Kilichotokea Mbeya siyo waalimu waliompiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wa chuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga. Tafadhali sana tusichafuliane majina...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Usiku wa kuamkia leo nikiwa ktk mihangaiko yangu ya biashara Bunda mjini nilichukua chumba ktk nyumba moja ya kulala wageni, wakati nikijisajili ktk daftari la wageni nikawa nimekutana na mteja...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni imani gani hii ya siku hizi ya kukataa kutoa chenchi?
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kilichotokea Mbeya Day sio kwamba Waalimu walimpiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wachuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga. Tusichafuliane majina. *Waalim hatupendi ujingaa.!*...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!! Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha! Kipimo cha haya yote ni...
10 Reactions
176 Replies
11K Views
Bongo land kwa sasa kuna joto kali sana Jitahid kuwa msafi Ndugu yangu kira asubuhi jaribu kuoga sio kunawa na kuondoka Yan unakutana na mtu ktk public bus athee acha yan mtu ananuka harufu...
1 Reactions
1 Replies
607 Views
2 Reactions
1 Replies
914 Views
Nilijibanza mahala leo nikiwa nakimbia mvua. Ghafla nikasikia mdada akiomba vitu kadhaa nikajua atakuwa anasali anamuomba Mungu. Cha ajabu hatimae nikasikia "Ok baby mwah I love you. Navisubiri"...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Siku moja manyama alikuwa darasani mwalimu akiuliza maswali..sasa kila swali mwalimu akiuliza akaona wenzake wananyooosha kwa nguvu sana.... Mwalimu akaendelea kuuliza ghafla manyama naye akaanzaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukubali ukatae... Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE…. Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea…. Sipendagi...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kenya wana utaratibu wa kuwafanyia enterview live kwenye televisions watu wanaotaka nafasi za juu serikalini, kama jaji mkuu, jaji mkuu msaidizi, katibu mkuu n.k, Natamani cku moja huu utaratibu...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
wadau tusaidiane ktk hili mimi naanza na nyani ngabu....
1 Reactions
72 Replies
15K Views
Binti: Baby naomba simu nicheze game. JAMAA: Hiyo hapo chukua. BAADA YA MUDA Binti: Na huyu Mariam ndio nan? JAMAA: Hiyo level sijafika. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...
4 Reactions
1 Replies
1K Views
MKALIMANI AZUA KIZAA ZAA KANISANI PADRE We need to thank GOD for Goals that we set in our hands MKALIMANI; Tunamshukuru mungu kwa magoli yote ya mikono...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku hizi wakweli wanaitwa wambea ,na wambea wanaitwa wakweli ,maana kuna jamaa hapa mtaani akikuona umeoa na unamchepuko basi lazima akuite na kukukanya uache tabia ya kuchepuka ,majuzi kuna dada...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf 1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa 2: kuleta hoja/taarifa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
habari zenu jamani, habari za siku nyingi. Baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na mambo flani flani sasa nimekuja tena. Najitokeza kutafuta marafiki wa kuchil nao na kubadilishana mawazo...
0 Reactions
12 Replies
994 Views
Kuna deal la faster faster hapa. Ukiwa kama mtangazaji, Kwa kutumia lugha ya Kiingereza ; Tangaza goli alilofunga Hamis Tambwe na jinsi mashabiki wa Simba waling'oa viti uwanja wa Taifa...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…