Leo nimeingia Supermarket pale Kibo Complex Tegeta,..Basi nikachukua Mkate Mkubwa na Maji,
Ajabu tangu nachagua bidhaa kwenye Shelf kuna Mzee mmoja alikuwa ananifuata nyuma mpaka nikaogopa...
Hodi.. Humu ndani.. Kuna binti ambae nilizoeana nae!! Na alifanya vituvambavyo mim nilihici ana nipenda kama kuomba out na mimi, kunipa hug kw sanaaaa iyo ilikuakila sikuu.. Na kupiga simu kila...
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu...
Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa!
*_Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?"...
Misifa kwangu kawaida napenda sana sifa ila si za kijinga (SIPENDI_UJINGA)
JINA LANGU NI ADIMU NA NI MAARUFU nashukuru hili [emoji120]
[emoji125]
Haya zamu yako kujisifia
*Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe*
*WANAITWA WANAWAKE*
*Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida...
Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu...
TYPE 1: Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa CORPORATE...
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI
ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI!
Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya.
Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena!
Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako?
Miaka...
Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku...
Hii sasa kali!!!
Mwalimu kauliza swali darasani
wanafunzi wataje
kazi za wazazi wao:
TINA: mimi baba yangu
mfanyabiashara mama
yangu mwalimu.
MWALIMU: Safi, haya juma
JUMA: Baba yangu dereva mama...
Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?
*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?
*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.
*Boss*:-umesoma mpaka wapi...
eti amerudia analalamika eti mwalimu kamkosesha..wakati anajua kapata..ikabidi nimwambie anionyeshe ni wapi amekoseshwa..akanionyesha..
ilikuwa ni methali inasema simba akizidiwa...dogo akawa...
sijui tatizo kwangu au kwao ila mwenye uzoefu na haya mambo aniambie nimenyimwa game mara kibao na wanafunzi wa A level na O level mbaya zaidi hawahitaji pesa kama madem waliopo mtaani hali...
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi
Hasa ka reyvanny
Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti
"kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na...